Rwanda yapata chanzo kipya cha umeme kutokana na gesi ya sumu

Rwanda yapata chanzo kipya cha umeme kutokana na gesi ya sumu

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Nchi ya Rwanda imefanikiwa kupata chanzo kipya cha umeme kupitia gesi ya methane iliyoko ziwa kivu ziwa lililobatizwa jina la utani la killer lake

mpaka sasa inakadiliwa kuwa chanzo hicho kipya cha umeme kitaweza kuchangia hadi 30% ya matumizi ya umeme wa nchi nzima
 
Mbona hicho chanzo wanacho muda mrefu tu na umeme wanauzalisha kama kawaida
 
Back
Top Bottom