Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Unamaanisha ile inayopatikana kwenye Sigara?ni kweli nikotini inaweza kupambana na virusi vya ukimwi
Kuzuia baada ya kupata maambukizi au kabla ya kupata maambukizi?Kupitia ushirikiano na Global Fund, zaidi ya watu milioni moja watapatiwa sindano ya Lenacapavir, inayochomwa mara mbili kwa mwaka na kuzuia maambukizi kwa asilimia 99.9.
kwenye tumbakuUnamaanisha ile inayopatikana kwenye Sigara?
Tumbaku ndio hio hio sigara tumbaku iliyofanyiwa processing tumbaku yenyewe km yenyewe ni noma Mzee vumba lake lile ambayo haijazimuliwa na chochote unaweza ukaamsha madogoli sio mchezokwenye tumbaku
nimeona wazungu wanajadili kuhusu nikotini inauwezo wa kupambana na virus vyovyote na ndio maana imepigwa marufuku kuzalishwa hukoTumbaku ndio hio hio sigara tumbaku iliyofanyiwa processing tumbaku yenyewe km yenyewe ni noma Mzee vumba lake lile ambayo haijazimuliwa na chochote unaweza ukaamsha madogoli sio mchezo
Imepigwa marufuku kuzalishwa wapi?nimeona wazungu wanajadili kuhusu nikotini inauwezo wa kupambana na virus vyovyote na ndio maana imepigwa marufuku kuzalishwa huko
AmerikaImepigwa marufuku kuzalishwa wapi?
Kwamba itawaharibia biashara?Amerika
ndio uhalisiaKwamba itawaharibia biashara?
Noma sanandio uhalisia
we unataka utengeneze nnNoma sana
Au tujaribu sis waafrica kutengeneza?
Dawa ya kumaliza dubwasha ukimwi,we unataka utengeneze nn
wenyewe wanatengeneza virus wanapiga hela kwenye chanjo na madawa
maji yenyewe yana ma chlorine na ma floride unafikir dawa yako itakuwa na nguvu ndani ya hayo madawa katika majiDawa ya kumaliza dubwasha ukimwi,
Tuanenda kuitumbukiza kwenye maji yanayowafikia watu majumbani,ππ.
Hakuna ku julikana
Tutatafuta namna, ingawa ukifanikisha , wajuba kule juu watakutafta vibaya mno, nchi yako utailetea matatizo. Binadam washenzi sana.maji yenyewe yana ma chlorine na ma floride unafikir dawa yako itakuwa na nguvu ndani ya hayo madawa katika maji
kufanikisha jambo fulani kwa manufaa ya umma katika mambo ya wakubwa usitegemee kupigiwa makofiTutatafuta namna, ingawa ukifanikisha , wajuba kule juu watakutafta vibaya mno, nchi yako utailetea matatizo. Binadam washenzi sana.