Rwanda yaruhusu ukulima wa bangi

Rwanda yaruhusu ukulima wa bangi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Serikali ya #Rwanda imehalalisha kilimo cha Bangi ili kuuza nje ya nchi, matumizi ya kujifurahisha au kujitibu bado yanahesabiwa kuwa haramu kisheria

Rwanda inatarajia kukuza mapato ya kusafirisha bidhaa nje na kufaidika na soko la bangi la dunia ambalo lina thamani ya dola bilioni 345 sawa na Tsh Trilioni 800

Waziri wa Afya wa Rwanda, Dkt. Daniel Ngamije amesema wao wanataka faida kibiashara lakini matumizi ya zao hilo ndani ya nchi yao hayakubaliki

Hivyo amesema kuruhusu zao hilo kibiashara hakuathiri sheria zao dhidi ya dawa za kulevya

=====

Rwanda has approved the cultivation and export of cannabis even as the use of the stimulant for medical or recreational purposes remains illegal in the country.

The government is targeting to grow its export earnings from the global cannabis market valued at the $345 billion according to analysts New Frontier Data.

The decision has caused confusion with some warning it could be detrimental to the youth if tough controls are not enforced.

Rwanda’s Minister of Health Dr Daniel Ngamije said that despite the government’s intention to profit from the production and export of marijuana, its use in the country is prohibited.

“This will not give an excuse for drug abusers and dealers. The law against narcotics is available and it will continue to be enforced,” Dr Ngamije said on state-run television Rwanda Broadcasting Agency on Tuesday.

A Cabinet meeting, chaired by President Paul Kagame, on Monday approved regulatory guidelines on cultivation, processing, and export of “high-value therapeutic crops”.

Rwanda approves cannabis production for export
 
What-A-100-Acre-Cannabis-Farm-Looks-Like.jpg

Taifa la Rwanda linaungana na mataifa mengine ya Afrika kama vile Lesotho, Zimbabwe na Malawi katika kuruhusu ulimaji na usafirishaji wa zao la bangi, Bodi ya Maendeleo ya Rwanda (RDB) imeeleza siku ya Jumanne, ikitoa mwongozo wa kilimo cha mmea huo.

Rwanda sasa inaanza kupokea maombi ya leseni kutoka kwa wawekezaji wanaotaka kulima bangi, lakini matumizi ya mmea huo hayataruhusiwa nchini humo.

"Uzalishaji wa bangi utabaki kwa matumizi ya usafirishaji kwenda katika masoko ya nje," taarifa hiyo ilieleza, ikiongeza kuwa serikali ya Rwanda inatarajiwa kujiongezea kipato kutokana na kodi itakayopatikana kwa usafirishaji wa zao hilo nje ya nchi pamoja na kuongeza fursa za ajira.

Akizungumza katika televisheni ya taifa, Waziri wa Afya wa Rwanda, Daniel Ngamije amesema kuwa taifa hilo limekuwa likiagiza bangi kutoka nje kwa ajili ya shughuli za kitabibu, na ni wakati sasa wa taifa hilo kuanza kuzalisha na kusambaza zao hilo.

Ameonya pia kuwa sheria zinazolinda uzalishaji na usafirishaji wa bangi zitaendelea kufuatiliwa kwa ukaribu na kuwa serikali haitaruhusu matumizi mabaya ya bangi ikiwamo uvutaji, ambayo yamepigwa marufuku kwa mujibu wa sheria.

Chanzo: CGTN.
 
Kama wameona bangi ni nzuri wenyewe wawe mfano kwa kuruhusu matumizi ya bangi huko Rwanda.
 
Tatizo wengi tunajua zao la bangi linavutwa tu kama kilevi hapa ndipo shida inaanzia...
 
Mimi nitaomba kuwa tester kabla ya kuipeleka nje.December lazima niende Kigali.
 
Serikali ya #Rwanda imehalalisha kilimo cha Bangi ili kuuza nje ya nchi, matumizi ya kujifurahisha au kujitibu bado yanahesabiwa kuwa haramu kisheria

Rwanda inatarajia kukuza mapato ya kusafirisha bidhaa nje na kufaidika na soko la bangi la dunia ambalo lina thamani ya dola bilioni 345 sawa na Tsh Trilioni 800

Waziri wa Afya wa Rwanda, Dkt. Daniel Ngamije amesema wao wanataka faida kibiashara lakini matumizi ya zao hilo ndani ya nchi yao hayakubaliki

Hivyo amesema kuruhusu zao hilo kibiashara hakuathiri sheria zao dhidi ya dawa za kulevya

=====

Rwanda has approved the cultivation and export of cannabis even as the use of the stimulant for medical or recreational purposes remains illegal in the country.

The government is targeting to grow its export earnings from the global cannabis market valued at the $345 billion according to analysts New Frontier Data.

The decision has caused confusion with some warning it could be detrimental to the youth if tough controls are not enforced.

Rwanda’s Minister of Health Dr Daniel Ngamije said that despite the government’s intention to profit from the production and export of marijuana, its use in the country is prohibited.

“This will not give an excuse for drug abusers and dealers. The law against narcotics is available and it will continue to be enforced,” Dr Ngamije said on state-run television Rwanda Broadcasting Agency on Tuesday.

A Cabinet meeting, chaired by President Paul Kagame, on Monday approved regulatory guidelines on cultivation, processing, and export of “high-value therapeutic crops”.

Rwanda approves cannabis production for export
Nitanzania tu kwa ujinga wetu wa kufuata Sheria na maagizo ya Western countries....wakituambia hiki hapana mass Ngeeeh....

Nakumbuka kijijin kwetu wamelima bangi Kama zao had Niko darasa la 5 miaka ya 90's.....

Mpaka hapo serikali ilipoanza kuchachamaa na wanakijij wanashangaa Kama Kuna matumizi mengine haramu tofaut na Yale ya kawaida....
 
Mirungi tu ilipigwa marufuku ilhali Kenya inaexport kwa wingi,bongo Kuna mahala kizazi fulani kikipotea ndiyo tutaanza kuwa na maono sahihi
 
Serikali ya #Rwanda imehalalisha kilimo cha Bangi ili kuuza nje ya nchi, matumizi ya kujifurahisha au kujitibu bado yanahesabiwa kuwa haramu kisheria

Rwanda inatarajia kukuza mapato ya kusafirisha bidhaa nje na kufaidika na soko la bangi la dunia ambalo lina thamani ya dola bilioni 345 sawa na Tsh Trilioni 800

Waziri wa Afya wa Rwanda, Dkt. Daniel Ngamije amesema wao wanataka faida kibiashara lakini matumizi ya zao hilo ndani ya nchi yao hayakubaliki

Hivyo amesema kuruhusu zao hilo kibiashara hakuathiri sheria zao dhidi ya dawa za kulevya

=====

Rwanda has approved the cultivation and export of cannabis even as the use of the stimulant for medical or recreational purposes remains illegal in the country.

The government is targeting to grow its export earnings from the global cannabis market valued at the $345 billion according to analysts New Frontier Data.

The decision has caused confusion with some warning it could be detrimental to the youth if tough controls are not enforced.

Rwanda’s Minister of Health Dr Daniel Ngamije said that despite the government’s intention to profit from the production and export of marijuana, its use in the country is prohibited.

“This will not give an excuse for drug abusers and dealers. The law against narcotics is available and it will continue to be enforced,” Dr Ngamije said on state-run television Rwanda Broadcasting Agency on Tuesday.

A Cabinet meeting, chaired by President Paul Kagame, on Monday approved regulatory guidelines on cultivation, processing, and export of “high-value therapeutic crops”.

Rwanda approves cannabis production for export

Nasikia hata Uganda walisha anza muda mrefu kusafirisha bhangi kwenda kwenye viwanda vinavyo tengeneza madawa huko Ulaya - Waganda walifikia hatua ya kuwafundisha baadhi ya wakulima wa Kagera jinsi ya kulima Kilimo cha bhangi chenye tija wakawapa mbegu na mbolea na kuwambia wakulima kwamba wakati wa mavuno watakuja kununua wao na kuisafirisha!! Nafikiri baadae vyombo vya Dola vilipata taarifa wakafanya operation ya kuteketeza mashamba yote ya bangi.

Sasa kama bhangi ina soko kubwa na lenye uhakika huko Ulaya na Merikani kwa nini wakulima wa Afrika Mashariki hawaruhusiwi na Serikali zao kulima cash crop yakuwaingizia mamillion ya pesa ili waondokane na umasikini mkubwa, mradi wakulima hawavuti au kutumia bhangi kwenye mambo ya ndio sivyo.
 
Kuna siku niliandika hapa kuwa haya mashamba anayofyeka afande Muroto huko milimani tuyajutia....
Ajabu wanaharamisha bangi ambayo hakuna utafiti wowote HURU uliowahi kuthibitisha mdhara yake na kuacha pombe na sigara ambavyo vinaangamiza watu kwa mamilioni wao wanachojali ni kodi tu
 
Huko kwenye masoko ya Mitandaoni kama Amazon hizo bidhaa zitokanazo na bangi kama Hemp seed oil zimejaa tele watu wanapiga pesa tu.
 
Back
Top Bottom