Rwanda yatangaza maombolezo hadi Rais Magufuli atakapozikwa

Rwanda yatangaza maombolezo hadi Rais Magufuli atakapozikwa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ametuma salamu za rambirambi kwa Tanzania kwa kuondokewa na Rais John Magufuli aliyefariki Machi 17

Pamoja na salamu hizo Rwanda imetangaza kuwa na siku za maombolezo ambapo bendera ya Taifa la Rwanda na Bendera ya Umoja wa Afrika Mahsriki itapepea nusu mlingoti hadi atakapozikwa

Rwanda imesema itaendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania pamoja na familia ya Hayati John Magufuli

1616067925555.png
 
Uganda sijawasikia na Burundi vp ambao ndio tunaona kama ni washirika wetu wa karibu

Kwa siku saba kuanzia leo bendera za Burundi zinapepea nusu mlingoti, na rais ametangaza siku 7 za maombolezo

Tweet
See new Tweets
Tweet

SE Evariste Ndayishimiye
@GeneralNeva
·
21h
I am terribly saddened to learn of the passing of my friend & brother H.E John Pombe Magufuli, President of the United Republic of #Tanzania. My thoughts & prayers go out to the Government and People of Tanzania & his Family for the loss of a Great Leader, a true Panafricanist.
 
Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ametuma salamu za rambirambi kwa Tanzania kwa kuondokewa na Rais John Magufuli aliyefariki Machi 17

Pamoja na salamu hizo Rwanda imetangaza kuwa na siku za maombolezo ambapo bendera ya Taifa la Rwanda na Bendera ya Umoja wa Afrika Mahsriki itapepea nusu mlingoti hadi atakapozikwa

Rwanda imesema itaendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania pamoja na familia ya Hayati John Magufuli

View attachment 1728776
Murakoze cyane
 
Back
Top Bottom