Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Uganda sijawasikia na Burundi vp ambao ndio tunaona kama ni washirika wetu wa karibuSawa, ni msiba wa Africa
Uganda sijawasikia na Burundi vp ambao ndio tunaona kama ni washirika wetu wa karibu
Murakoze cyaneRais wa Rwanda, Paul Kagame, ametuma salamu za rambirambi kwa Tanzania kwa kuondokewa na Rais John Magufuli aliyefariki Machi 17
Pamoja na salamu hizo Rwanda imetangaza kuwa na siku za maombolezo ambapo bendera ya Taifa la Rwanda na Bendera ya Umoja wa Afrika Mahsriki itapepea nusu mlingoti hadi atakapozikwa
Rwanda imesema itaendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania pamoja na familia ya Hayati John Magufuli
View attachment 1728776