Rwanda yavunja rekodi uuzaji Madini nje!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Rwanda imeingiza kiasi cha dola Bilioni 1.1 katika mapato ya mauzo ya Madini mbali mbali kwa mwaka wa 2023.

Hiyo ni ongezeko ya asilimia 43 ya mauzo ya mwaka wa 2022 baada ya kupata dola milioni 772 kutokana na mauzo ya nje ya madini.

Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo ambayo haina madini ya dhahabu.
c & p, #kitenge.

IMG_20240216_064425_964.jpg
 
Nilimsikia anasema anatuhumiwa kuiba. Kiukweli yeye haibi ila wanaoiba huwa wanapitishia Rwanda kwenda kuuza ulaya. Walaumiwe hao wanaonunua.

Nikajiuliza.
Anaruhusuje wezi kupitishia vitu nchini kwake?

Nikajiuliza nchi za wazungu zinapolicy kali sana za kununua madini yenye sintofahamu zenye chanzo damu.

Kabla sijalaumu, au kutuhumu natamani kujuq Rwanda inaelezeaje chanzo cha madini hayo. Na wanunuzi kama ni masoko yale yanayotambulika na sio wachina wajanjawajanja wananunuaje hivyo vitu?
 
Yale yale kuchukua madini ya kanda ya ziwa kuuzwa na mapato kuhesabika ya mkoa wa Arusha kupitia soko lao la madini .

Jamaa anachota anashirikiana na wezi wanapitisha madini huko hata ya Tanzania wanapelek then yanaenda nje..Bado hao waasi hapo congo wanapeleka huko.
 
Tanzania viongozi wengi wapo kwa maslahi binafsi yan hii nchi watu walio juu kiuchumi huwa wanafurah sana kuona kuna wengine wanahangaika mitaani. na hata waliofanikiwa wakikuona ww ambaye bado huna kitu wanakuwa na dharau sana na furaha kubwa.
 
Nilimsikia anasema anatuhumiwa kuiba. Kiukweli yeye haibi ila wanaoiba huwa wanapitishia Rwanda kwenda kuuza ulaya. Walaumiwe hao wanaonunua.

Nikajiuliza.
Anaruhusuje wezi kupitishia vitu nchini kwake?

Nikajiuliza nchi za wazungu zinapolicy kali sana za kununua madini yenye sintofahamu zenye chanzo damu.

Kabla sijalaumu, au kutuhumu natamani kujuq Rwanda inaelezeaje chanzo cha madini hayo. Na wanunuzi kama ni masoko yale yanayotambulika na sio wachina wajanjawajanja wananunuaje hivyo vitu?
Wazungu wanampenda kwa hilo tu
Mkuu hata wazungu wanatafuta maisha kwa kila njia hata ziwe za kuuwa
Silaha zinauzwa sana ili wapate hela lakini pia watu wafe, ila hawajali

Madini yanatoka kila sehemu na inawezekana zinakuwa na damu lakini zinasafishwa na kuzigonga kama zimetoka Tz kumbe DRC

Hata wao wazungu wamekazana kusema wanaangalia hali ya usalama Mashariki ya kati lakini ukweli unajulikana kwanini wapo huko MAFUTA!
Acha niende Rwanda labda ntabahatisha kupata hata kibali chap chap cha kununua
 
Acha niende Rwanda labda ntabahatisha kupata hata kibali chap chap cha kununua dhahabu au 💎
Yale yale kuchukua madini ya kanda ya ziwa kuuzwa na mapato kuhesabika ya mkoa wa Arusha kupitia soko lao la madini .

Jamaa anachota anashirikiana na wezi wanapitisha madini huko hata ya Tanzania wanapelek then yanaenda nje..Bado hao waasi hapo congo wanapeleka huko.
The world is your Oyster bro
 
Back
Top Bottom