Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Produce of land of Rwanda.No prize for guessing where those gems come from.
Ni tabia ya bepari yoyote, ref marekaniKagamne wizi anaufanya DRC, nashangaa ulimwengu unamwangalia tu namna anavyoua watu kule kisa aibe!
Hii point ndio ya muhimu kbsaa Ni lzm ufanye lolote familia ipate chakulaKagame anaipenda nchi inaifanya kama familia yupo radhi aibe watoto wale chakula. Viongozi wa Tanzania wanaipenda nchi kama shamba,wapo radhi wavune waende kuuza sokoni

Wazungu wanampenda kwa hilo tuNilimsikia anasema anatuhumiwa kuiba. Kiukweli yeye haibi ila wanaoiba huwa wanapitishia Rwanda kwenda kuuza ulaya. Walaumiwe hao wanaonunua.
Nikajiuliza.
Anaruhusuje wezi kupitishia vitu nchini kwake?
Nikajiuliza nchi za wazungu zinapolicy kali sana za kununua madini yenye sintofahamu zenye chanzo damu.
Kabla sijalaumu, au kutuhumu natamani kujuq Rwanda inaelezeaje chanzo cha madini hayo. Na wanunuzi kama ni masoko yale yanayotambulika na sio wachina wajanjawajanja wananunuaje hivyo vitu?

The world is your Oyster broYale yale kuchukua madini ya kanda ya ziwa kuuzwa na mapato kuhesabika ya mkoa wa Arusha kupitia soko lao la madini .
Jamaa anachota anashirikiana na wezi wanapitisha madini huko hata ya Tanzania wanapelek then yanaenda nje..Bado hao waasi hapo congo wanapeleka huko.
DRC mainlyProduce of land of Rwanda.
Pengine kuna ya Tanzania yamejumuishwa humo, a man has a larger network!