Rwanda's GDP equals Nakuru County GDP

Hii maneno itakuwa baada ya Rwanda ku-dump Kunyaland SGR!
 

Kila tukiwarejesha kwenu huko huwa wanarudi na ndugu zao zaidi wanaongezeka kuliko awali.
 
Warudisheni kuliko huo unafiki mnaendeleza hapo

Sent using Jamii Forums mobile app

Hunielewi, tunawarudisha kwao kisha wanaitana maradufu na kurudi kwetu.
Boresheni nchi huko kwenu raia waache kuikimbia na kuwa omba omba kwenye nchi ya jirani.
Majirani zetu wamepigana hadi wakawa wakimbizi, ila sijawahi kuona wakiomba omba, sasa nyie hampigani kwenu ila ndio mnaongoza kwa hii tabia, sijui mnakwama Wapo.
 
Tanzania imeingilia wapi hapa😂😂 yaani kila dakika mikenya ina waza tu Tz..Tz sio ligi yenu..Go compare yourselves with Nigeria which the City of lagos has a higher GDP than the whole of kenya😂😂😂
really??, you don't know why am talking about Bongolalas... tunnel reasoning at best.
Yes we compare ourselves to Nigeria, South Africa, Egypt , Tunisia, Morocco ...hao ndiyo wako juu yetu.
but its still a shame for Bongolalas to compare themselves to Kenya...aibu
 
Umesoma Kichwa cha uzi? wapi hapo umeona jina Tanzania?
😆😆😆 Mnakesha hapa ligi tu ambazo hamuwezani nazo..
Ligi yenu hii hapa👇
1)Corruption
2)Tribalism
3)Unemployment rate
4)Crime
5)Slums
6)Hunger
7)Police brutality/killings
8)Nepotism
9)Terrorism
10)poor public health System
Mshindane huko na kina nigeria😂😂😂
cc joto la jiwe
 
Kenya hauwezi kuwa omba omba jijini bila kuwa na mdhamini..Askari wa jiji huuza " "prime spots" Za omba omba..Yaani shida ya biashara chafu ya human traffiking kenya kubwa sana
You wish. Aibu ya omba omba wa kitanzania kwenye miji ya Kenya haitafichika kwa uongo na longolongo za peni mbili. Tafuteni suluhisho, imekuwa kero hadi kwenye miji midogo kama Bomet. Soma hii taarifa kuhusu cartel za kitanzania zilivofichuliwa baada ya hakimu kwenye mahakama ya Bomet kuamuru watz wawili(mmoja ambaye alikuwa anatumiwa mwenzake mlemavu kuomba) kurudishwa kwao. Yaani Cartel za kitanzania zinawaleta jamaa na ndugu zao, tena walemavu na watoto pia, kutoka Tz kuja kuomba omba nchini Kenya kisha hela zinawafaidi wao. Sidhani kuna uhuni zaidi ya huo.
 
Wanavukaje boarder??
Sent using Jamii Forums mobile app
Warudisheni kuliko huo unafiki mnaendeleza hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kali sana, mnawalaumu wakenya kuhusu omba omba wa kitanzania ambao ni kero kwenye miji karibia yote ya Kenya? Tena mbaya zaidi ni kwamba kuna watanzania wengine wengi ambao wanatumikia vifungo virefu kwenye jela za Kenya. Kwasababu ya kuwaleta walemavu, hadi watoto, kutoka Tz kuja kuwatumia kama kitega uchumi chao nchini Kenya.
 
Omba omba itakuwa shida ya Tanzania kivipi? kwani wanachafua taswira ya miji ya TZ? Na kama umekubali ni biashara sio umaskini, basi wacha waingize zao wapeleke bongo..Uwepo wao kenya haishushi taswira mijini maana miji yote tayari imejaa slums.
 
Omba omba itakuwa shida ya Tanzania kivipi? kwani wanachafua taswira ya miji ya TZ? Na kama umekubali ni biashara sio umaskini, basi wacha waingize zao wapeleke bongo..Uwepo wao kenya haishushi taswira mijini maana miji yote tayari imejaa slums.
Ingekuwa ni sifa na sio tatizo la kitanzania hungekuwa unamwaga povu hivi na kutumia nguvu nyingi kupindisha ukweli ambao upo wazi. Yaani kuna hadi wakimbizi wengi sana nchini Kenya ambao nchi zao zimekuwa kwenye vita kwa miaka mingi sana ila hutawapata mitaani wakiomba omba. Kama S.Sudan na Somalia, kwahivyo huwezi ukawalaumu wakenya kwa njia yeyote ile. Hakuna jambo lingine ambalo linaweza likamfanya mtz asafirishe watz wenzake, watoto, ndugu na jamaa zake walemavu kuja Kenya kuwatumia kuomba omba isipokuwa umasikini. Alafu kwasababu wengi wao ni walemavu kuna factor ya wao kutelekezwa nchini mwao na serikali yao kutokuwa na sera na mikakati ya kueleweka ya kuwawezesha kujikimu kimaisha.
 
Hivi unafahamu 90% ya omba omba Mijini ni ni watoto na wamama chokoraa wa kenya?
Idadi ya Wageni(Tz, UG,Congo etc) ni ndogo sana na wengi hapo sio maskini / chokoraa ni makajanja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…