Kenya's oil has not been comercialized. Nigeria started producing oil even before I was bornNigeria & kenya are oil producing countries..Both full of slums & unemployment..mnakwama wapi? πππ
What's the percentage of the food aid we received against our total food imports?GMO π π π
Sasa utapokeaje misaada ya chakula wakati pesa ya kununua unayo?
Yaani unajisifu una pesa wakati mambo kwa ground ni different,
Ukweli ni kuwa pesa hakuna.
ExcusesπππKenya's oil has not been comercialized. Nigeria started producing oil even before I was born
Nenda umuulize waziri wenu anayehusika atakujibu vizuri tu.What's the percentage of the food aid we received against our total food imports?
the burden of truth lies with you, not me because you seem to know so much about Kenya than us KenyansNenda umuulize waziri wenu anayehusika atakujibu vizuri tu.
Infact waburundi, Rwanda na Congolese wako very busy Hawking tea and mandazi to workers in porsh suburbs of Nairobi. They make alot of money, very hard-working and friendly.Eti omba omba kutoka Congo na UG? [emoji1] Hebu leta ushahidi wa madai yako na hizo takwimu zako za 90%. [emoji23] Kama kawa ukiwa cornered huwa unaanza kujitungia hadithi za ajabu ajabu. Mimi sijaona hata siku moja mkongomani au mbaganda mmoja akiomba omba nchini Kenya. Siku nitakaposikia 'saidia saidia kwasababu ya maprobleme na complicasio' au 'Ssebo givu me twente shilingsi' nitatoa noti kubwa, tena fasta. [emoji1] Siku hizi hata lafudhi za kikenya huwa ni ngumu kuzisikia. Kila kona ni 'kaka kaka nisaidie na hela, 20 tu'.
Hadithi hadithi. Hadithi njooNchi inayopewa misaada ya chakula ndio raia wake hawana pesa maana Wangekuwa na pesa Wangekuwa wananunua chakula Chao wenyewe na kuacha kutegemea misaada ya chakula.
Acha porojo , hakuna mkenya hata mmoja alieko Forbes..wakati tanzania wapo Zaid ya 10 ...utajiri wa kati $1bil na Dolla mil 500There are more millionaires in Kenya than Tanzania. There are less people in Kenya seurviving on less than a dollar a day compared to Tanzania. Sasa ni wapi ndio watu wako na pesa kati ya hizi nchi mbili?
Can you name those ten Tanzanians and their net worth and compare with the richest people in Kenya with their net worth as well.Acha porojo , hakuna mkenya hata mmoja alieko Forbes..wakati tanzania wapo Zaid ya 10 ...utajiri wa kati $1bil na Dolla mil 500
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. We falaa kwelii train ya umeme hiyo au we kipofuu.?
Hapo kw tanzania paangalie vizuri mkuuCan you name those ten Tanzanians and their net worth and compare with the richest people in Kenya with their net worth as well.
And when I said Kenya has more millionaires, I didn't mean the number of people on Forbes. I meant the total number of millionaires in Kenya compared to Tanzania. Kenya has 9,400 dollar millionaires while Tanzania has 7,600 of them. Soma hii taarifa labda utanielewa
Taja siku yoyote tanzania imewahi toa msaada kenya..Nyie hamna vyote, na ndio maana mnategemea misaada ya chakula,
"GDP means nothing if you have no money in your pocket. Nobody eats GDP because it is not edible at all but what matters is the money in people's pockets bila kusahau chakula," he said.
Lini tuliomba misaada[emoji1787][emoji1787]GMO [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa utapokeaje misaada ya chakula wakati pesa ya kununua unayo?
Yaani unajisifu una pesa wakati mambo kwa ground ni different,
Ukweli ni kuwa pesa hakuna.
Hii vita tungewaachia wenyewe Coallition of WillingRwanda has no hunger Kunyaland with cooked economy is suffering of hunger and abject poverty !
Nimecheka sana japo mimi MtanzaniaKila tukiwarejesha kwenu huko huwa wanarudi na ndugu zao zaidi wanaongezeka kuliko awali.
Hawa Wenzetu wanauza karanga za Diamond wakiwaza vile wataipiku Kenya 'hivi Karibuni' π π π πInfact waburundi, Rwanda na Congolese wako very busy Hawking tea and mandazi to workers in porsh suburbs of Nairobi. They make alot of money, very hard-working and friendly.
Sio kama hawa wazembe ombaomba wa ubongolala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulienda uarabuni tukapiga magoti chini kuomba chakula cha msaada? Mtu akija kwako in good faith akuletee kitu kwa njia ya urafiki utamfukuza nayo? Hakuna mahali Kenya iliomba ipewe msaada wa chakula na nchi yoyote
Hakuna taarifa iliyo juu ya taarifa ya Forbes, Kenya hakuna Millionaire au Billionaire hata mmoja anae tambulika na Forbes magazine au hata fortunate magazine..hata Mmoja hakunaCan you name those ten Tanzanians and their net worth and compare with the richest people in Kenya with their net worth as well.
And when I said Kenya has more millionaires, I didn't mean the number of people on Forbes. I meant the total number of millionaires in Kenya compared to Tanzania. Kenya has 9,400 dollar millionaires while Tanzania has 7,600 of them. Soma hii taarifa labda utanielewa