Elections 2010 Rweikiza atangaza rasmi kumvaa Karamagi Bukoba Vijiini

Elections 2010 Rweikiza atangaza rasmi kumvaa Karamagi Bukoba Vijiini

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Wakuu
Nimesoma kwenye blog moja kuwa mmoja wa wanachama wa CCM ametanagaza kugombea jimbo la karamagi ambaye nasye alikwisha sema kutetea nafasi yake licha ya kashfa za richmond,buzwagi nk

chanzo: ni soma hapa
 
Kwa maana hiyo Rweikiza amekubali kuwa VUVUZELA au ni kutangaza nia tu?

Kila la kheri Ndg. Rweikiza wa nyumbani,
ukipata yakwepe maovu aliyowahi kulalamikiwa Mzee wa Kontena Temino.
 
Back
Top Bottom