Wakuu
Nimesoma kwenye blog moja kuwa mmoja wa wanachama wa CCM ametanagaza kugombea jimbo la karamagi ambaye nasye alikwisha sema kutetea nafasi yake licha ya kashfa za richmond,buzwagi nk