Ryan Giggs has left Manchester United!!

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,120
Reaction score
24,667
Its after 29years as a player and Manager at Old Trafford!!!
 
tatzo la Giggs anataka akabidhiwe timu kama mwenzake zizou pale los blancos.
 
Mtazamo wangu ni tofauti kidogo,

Kwanza nakubali kwamba Giggs ni moja ya ma-legend wakuheshimia pale OT, mchango wake ni jambo lisiloweza kufutika kamwe. Uwepo wa Giggs pale OT ulikuwa ni muendelezo wa uwepo wa falsafa za sir AF. Hivyo ilikuwa ni changamoto kwa timu kuweza kuondokana na falsafa za Sir. FA

Nionavyo mimi, ni jambo jema kwa maendeleo ya Manchester United kumuondo Giggs kwa sasa hasa kutokana na ukweli kwamba tayari kama timu wameshaamua kuchukua uelekeo mwingine. Misuguano iliyokuwepo wakati wa Moyes na pia wakati wa LVG ni ishara tosha ya ukinzani wa kifalsafa uliokuwepo.

Si vibaya kuanza upya, na sintashaangaa huko mbeleni Giggs kurudi kuchukua mikoba rasmi.
 
Hitimisho lako bila shaka ndio kilichoko mbeleni..itakuwa ni ujanja tu umefanyika pengine kumpumzisha na kumuandaa vyema zaidi nje ya OT!!
Kumuandalia mazingira ambayo yatamwezesha kuibeba timu kirahisi...
Giggs Man U imemkolea sana asingeondoka kirahisi...
 
Mkuu Freyzmen uko sawa sana. Tumtakie maisha mema na mafanikio tele huko aindako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…