Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
Kaka, misimu yote tunajua anayechukua hii tuzo ni yule ambaye ameng'ara kuliko wengine kwenye msimu huo, sasa iweje apewe Giggs ambaye muda wote yuko bench? Msimu huu pros wamechemsha kinoma, mara mia wangempa Rooney au Ronaldo.Leave this to the pros and let them handle their bizz!
Kama tunaweza ku critise decisions zinazofanywa na wafalme na maraisi wa manchi makubwa hapa, kwanini tusifanye the same kwa hawa footballers, au mshkaji anaogopa watu wenye hela ndefu?We're pro too 🙂
Kama tunaweza ku critise decisions zinazofanywa na wafalme na maraisi wa manchi makubwa hapa, kwanini tusifanye the same kwa hawa footballers, au mshkaji anaogopa watu wenye hela ndefu?
Mimi sikubalianai na hii PFA award ya mwaka huu, Ryan Giggs? A player who has only started 12 games and scored one goal this season! Cha kushangaza ni kwamba hii award inatolewa kwa kura zilizopigwa na pro players, what were they thinking? this is a joke!
I do agree with you. WIZI MTUPU! What has he done during the season to deserve that award!? NOTHING!!!!!
Mnajua au mlishawahi kulisukuma gozi lakini? Haya kila mtu achague 'wake' tuone kama mtakubaliana! Kama hamtaanza kubishana tena. (lol)
Criteria nyingi mtakuwa hamzijui, displine etc!
Leave this to the pros and let them handle their bizz!
Kaka, misimu yote tunajua anayechukua hii tuzo ni yule ambaye ameng'ara kuliko wengine kwenye msimu huo, sasa iweje apewe Giggs ambaye muda wote yuko bench? Msimu huu pros wamechemsha kinoma, mara mia wangempa Rooney au Ronaldo.
Hawa jamaa wawili wazuri kucheza lakini hawana displine. Rooney ana kadi 7 yellow na red 1; Ronaldo ana kadi 5 yellow, red 1!
Bado mngeendelea kulalamikaKaka, misimu yote tunajua anayechukua hii tuzo ni yule ambaye ameng'ara kuliko wengine kwenye msimu huo, sasa iweje apewe Giggs ambaye muda wote yuko bench? Msimu huu pros wamechemsha kinoma, mara mia wangempa Rooney au Ronaldo.
mkuu inaelekea wewe ni mshabiki hujui kanuni za soka.....ukiona mtu kawa mchezaji bora kuna vigezo kibao vimetumika......Sidhani kama cards ni kigezo kimojawapo katika kura hizo.