RYZEN 5 Custom built PC

Unatisha mkuu yaani hapo hadi unamaliza building utakuta ni toyota passo kabisa unaenda kuiweka mezani.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ

Tunapenda haya madude tatizo uchumi nao unatuvuta shati.

umaskini ni mbaya nyie...πŸ˜„

niko hapa hapa nasubiri uje uiwashe na monitor ya kibabe halafu unacheza god of war Ragnarok... huo unyama wake sipatii picha.
 
Hapana mkuu, haiwezi kufika huko πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Very Interesting, Japo purpose ya Hii mitambo sijaielewa vizuri ? Tuepeana elimu, napenda kujifunza
 
Mkuu kwasisi ambao hatujapita shule ya hayo Mambo. Tukinunua vifaa HIVYO kuviunga inakuaje sasa hapo [emoji848][emoji848]
Kabla hujanunua lazima ufahamu kwanini ufanye hivyo na je kuna ulazima wa kufanya yote hayo.

1. Binafsi nahitaji machine yenye uwezo mkubwa kulingana na aina ya matumizi yangu, inaweza ikawa tofauti kwako.

2. Kupunguza gharama, nikihitaji computer yenye uwezo sawa na ninayoifunga kwa sasa, ikitokea nikaenda dukani itanigharimu fedha nyingi zaidi tofauti na kufanya customization mwenyewe.
 
Very Interesting, Japo purpose ya Hii mitambo sijaielewa vizuri ? Tuepeana elimu, napenda kujifunza
1. kupunguza gharama
2. Kulipia kile unachomudu na unachohitaji.

Ni kama unavyojenga nyumba, una uwezo wa kununua nyumba iliyokwishajengwa tayari au ukaamua kujenga yako kwa sifa unazotaka wewe, ndio mfano hai.
 
Sawa Mkuu
 
ina maana mpaka ukamilishe na full gadgets kma PC monitor for gaming huenda full bajeti ikasoma 4million sio.
 
ina maana mpaka ukamilishe na full gadgets kma PC monitor for gaming huenda full bajeti ikasoma 4million sio.
Ìnategemea inaweza ifike au isifike kulingana parts ulizopanga kutumia.

Mara nyingi vifaa vyenye gharama kubwa ni Graphics card, Processor na Motherboard hivyo vitu vitatu vinaweza tumia asilimia 75 mpaka 80 ya gharama utakayotumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…