Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,158
- 3,808
Amani na iwe kwetu wote. Nashukuru jukwaa la tech ndo huwa hawana bla bla nimesaidika sana.
Sasa nina samsung s10 ina android 12. AT &T
Tatizo lake sasa linaloninyima raha ni kutokuwepo button ya data kwenye quick panel. Nalazmika kuzunguka wenye setting kuzima na kuwasha data. Unaona! Nimesoma soma mtandaon ni kama kuna namna ya kuingiza ilo file.
Pia sms hazina sehem ya delivery report. Anayejua mtaalam dar anisaidie vitu hiv vinanikosesha raha ya matumizi.
Natanguliza shukran