Derivaerd ndo nini?Simu zote za samsung zenye android 11 kwenda juu haswa hizi s na note siries hazina derivaerd reports
Huu ni ujingaSimu zote za samsung zenye android 11 kwenda juu haswa hizi s na note siries hazina derivaerd reports
Kuna app moja hivi naitumia ya kuzimia na kuwasha data....ngoja niilete hapaAmani na iwe kwetu wote. Nashukuru jukwaa la tech ndo huwa hawana bla bla nimesaidika sana.
Sasa nina samsung s10 ina android 12. AT &T
Tatizo lake sasa linaloninyima raha ni kutokuwepo button ya data kwenye quick panel. Nalazmika kuzunguka wenye setting kuzima na kuwasha data. Unaona! Nimesoma soma mtandaon ni kama kuna namna ya kuingiza ilo file.
Pia sms hazina sehem ya delivery report. Anayejua mtaalam dar anisaidie vitu hiv vinanikosesha raha ya matumizi.
Natanguliza shukran
Mimi Nina s9 nayo una changamoto hiyo hiyo yakoAmani na iwe kwetu wote. Nashukuru jukwaa la tech ndo huwa hawana bla bla nimesaidika sana.
Sasa nina samsung s10 ina android 12. AT &T
Tatizo lake sasa linaloninyima raha ni kutokuwepo button ya data kwenye quick panel. Nalazmika kuzunguka wenye setting kuzima na kuwasha data. Unaona! Nimesoma soma mtandaon ni kama kuna namna ya kuingiza ilo file.
Pia sms hazina sehem ya delivery report. Anayejua mtaalam dar anisaidie vitu hiv vinanikosesha raha ya matumizi.
Natanguliza shukran
Tumia hii app Check out "Mobile Data Switch- Mobile dat"Amani na iwe kwetu wote. Nashukuru jukwaa la tech ndo huwa hawana bla bla nimesaidika sana.
Sasa nina samsung s10 ina android 12. AT &T
Tatizo lake sasa linaloninyima raha ni kutokuwepo button ya data kwenye quick panel. Nalazmika kuzunguka wenye setting kuzima na kuwasha data. Unaona! Nimesoma soma mtandaon ni kama kuna namna ya kuingiza ilo file.
Pia sms hazina sehem ya delivery report. Anayejua mtaalam dar anisaidie vitu hiv vinanikosesha raha ya matumizi.
Natanguliza shukran
Anamchomaanisha mdau unavuta pazia kunakuwa na kialama kama cha kalamu unaclick hapo unaweza edit kitu kipi kiwe quick setting kipi kisiwe, ongeza unachotaka, toa usichotaka.Mpaka nafika humu kwa magenius ni kwamba si suala la settings. Ni hizo huduma 2 hazimo