Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Producer wa muziki Bongo, S2kizzy alivyoingia ukumbini baada ya kutangazwa jaji mpya wa Bongo Star Search msimu wa 15.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
but they are making money like grown men!Grown men behaving like kids
Being wealthy and famous does not excuse any man from acting like a teen in public.but they are making money like grown men!
ilimradi havunji sheria mama zakiulimwengu sina chakumsema!Being wealthy and famous does not excuse any man from acting like a teen in public.
Ingekuwa ni baba yako kwenye graduation yako kaenda na kaptula na t shirt ya Tupac ungejisiakje?ilimradi havunji sheria mama zakiulimwengu sina chakumsema!
unyama ungekuwa mwingi sana!Ingekuwa ni baba yako kwenye graduation yako kaenda na kaptula na t shirt ya Tupac ungejisiakje?
Unyama maradufu angevaa t shirt ya Diddy 😁😁😁unyama ungekuwa mwingi sana!
jinga kweli wewe..😂Unyama maradufu angevaa t shirt ya Diddy 😁😁😁
Mzazi una masihara sanaUnyama maradufu angevaa t shirt ya Diddy 😁😁😁
Ningejisikia tu kama baba yangu alivyopenda kutoka siku hiyo ........as long as hasahau majukumu ya familia yake mimi ni nani wa kuizuia furaha yake ..............ikiwa uhai ni wa muda mchache tu kutoka kwa muumbaIngekuwa ni baba yako kwenye graduation yako kaenda na kaptula na t shirt ya Tupac ungejisiakje?
Don't be too rigid, it's just a publicity stunt. Same as advertising any product.Being wealthy and famous does not excuse any man from acting like a teen in public.
A lot of grown man makes money without behaving this waybut they are making money like grown men!
EstukiziHilo jina linatamkwaje? Maana majina yetu Wabantu hayana mfululizo wa consonants kama yale ya Poland. Walau majina mengi unakuta yana consonant moja au mbili, halafu yanafuatiwa na vowel.