S2kizzy sio producer bora bali ni producer maarufu

Mimi sio msemaji
 
Mzungu bado yupo...?
 
Nyie vijanna mnaobalehe, katafuteni ngoma yoyote inayoanza na hizi signature

"Fishcrab coca out"
"Toka B hits..Bupe bupe"

Halafu mlinganishe na huo uchafu wa huyo mtu wenu
Hakuna kitu pale , Lamar hamfikii s2kizzy , huyo dogo compare angalau na akina majan au Mika mwamba !!! The rest hamna , s2kizzy ni mbunifu , producer wengine wanagonga flat
 
Je, mr. T Touch(sina uhakika kama jina nimeandika kwa udahihi) mnamuonaje?
 
Hakuna mungu kama wew

Sio poa hili gospel songπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Mi nataka nijue tu wasanii aliowahi kuwatoa s2kizz from underground na kuwa wasanii wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…