Hiyo saa ina TV ndani au inabadilisha mchana kuwa usiku mpaka ninunue 200,000
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Laki 2???au sijaelewa figures??? Ina AC???
Mkuu Kwa wasiojua SAA lazima watashangaa
Ila uchumi umenikalia vibaya nimemnunulia baba yangu
love without limits
Hizo saa ni nzuri ila kwa vijana wa kisasa ni ngumu sana kuziuza, wanapenda sana wazee watu wazima tena wanaozijua sisi vijana tunaenda zaidi na fashion
Sent using Jamii Forums mobile app
seiko 5 kwa wahenga ni saa kwelikweli ila kwa kipindi hiki 200,000/= ni pesa nyingi sana kununua saa especially kwa low and middle income earners ndiyo maana hizi saa zina karibia mwaka mmoja hajaziuza.Ni saa nzuri sana. Ila vitoto vitashangaa hiyo bei.
Ndo hivyo apunguze beiseiko 5 kwa wahenga ni saa kwelikweli ila kwa kipindi hiki 200,000/= ni pesa nyingi sana kununua saa especially kwa low and middle income earners ndiyo maana hizi saa zina karibia mwaka mmoja hajaziuza.
tatizo si huruma bali baadhi yetu maisha yametubana sana ni vile tu tuna roho ngumu vinginevyo hata july isingetukuta dar es salaam.Jamani muoneeni jamaa huruma muinunue manake hii saa kila siku jamaa anatangaza kuiuza toka mwaka juzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh Hiyo ndo maana halisi ya kupambana na Hali yakotatizo si huruma bali baadhi yetu maisha yametubana sana ni vile tu tuna roho ngumu vinginevyo hata july isingetukuta dar es salaam.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Mkuu umenifanya nicheketatizo si huruma bali baadhi yetu maisha yametubana sana ni vile tu tuna roho ngumu vinginevyo hata july isingetukuta dar es salaam.