Nashukuru kwa masahihishoNi male wrist watch siyo male clock
Haiko dukani Niliagiza mtu aninunulie mbili za rangi tofautitofauti akaniletea zote za rangi moja hivyo sinabudi moja kuuza. Uko mkoa gani? Kama ni Dar au Moshi naweza Kukutumia ila mikoa mingine sina uzoefu wa kutuma Parcel kwa hiyo mikoa. Kama una mtu yuko arusha tunaweza kuonana Akakuchukulia. Karibuiko dukani au ni yako unavaa na je tulioko nje ya Arusha na Tanzania tunaweza kuipataje?
Ni hela nzuri mkuu ila kwangu itakuwa hasara. Ongeza.Niuzie kwa 30,000 kesho asubuhi nitakua Moshi