Hizo za Casio bei yake ni 45000/- full box. Rolex hizo zilizoko mbili bei yake ni 60000/-. Pia hizo Patek bei yake nazo ni 45000/-. Karibu boss.Bei unauzaje? Hasa hizo zenye tarehe.
Taja bei hapaTunapoelekea msimu wa Valentine tumewaletea mzigo mpya na mkali wa saa za kike na za kiume.
Saa zetu ni za ubora wa hali ya juu, nzuri sana na za kisasa.
Unaweza kuvaa maeneo mbalimbali ofisini, kanisani, mitoko ya weekend n.k
Lakini pia unaweza toa kama zawadi kwa uwapendao hususani kipindi hiki tunapoelekea Valentine's Day.
Tunapatikana Kariakoo Msimbazi B. Tunafanya delivery D'Salaam na mikoani tunatuma pia kwa gharama za mteja. Malipo ni baada ya kupokea mzigo.
Call/WhatsApp 0623250760.
You are all warmly welcome.View attachment 3532439View attachment 3532435View attachment 3532431View attachment 3532430View attachment 3532422View attachment 3532423View attachment 3532424View attachment 3532425View attachment 3532426View attachment 3532427View attachment 3532429View attachment 3532432View attachment 3532433View attachment 3532434View attachment 3532435View attachment 3532436View attachment 3532437View attachment 3532438View attachment 3532443View attachment 3532444