Midumare Ngatuni Iwato
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 1,653
- 2,045
Tupia vibao vyake vipya kama vipo.Sifa kuu Zake. Anajihwshimu sana
Ajawai kuchuja kiwango
Baba mnaigeria mama muingereza
Hana kashfa za ngono
Vibao vitamu vya.taboo Nk. Karibu
Zipo nyingi nyingi Kali Mkuu"Smooth operator" hatakuja kutoa ngoma Kali kama hii.
Kweli mkuu. No ordinary love, By your side, King of sorrow, Lover's rock na nyingine ...Zipo nyingi nyingi Kali Mkuu
Now drake anakula
yap hatakuja kutoa ngoma kali kama hiyo..bonge la ngoma"Smooth operator" hatakuja kutoa ngoma Kali kama hii.
jamaa kajipiga hadi tatoo ya huyu mwanamamaaisee drake hatari sana..
Mmmh ...Now drake anakula
"Smooth operator" hatakuja kutoa ngoma Kali kama hii.
Sidhani kama hilo linawezekana kwa yule mamaNow drake anakula