Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Hai, msikilize Chongolo

Kisambusa

Member
Joined
Aug 8, 2022
Posts
27
Reaction score
16
Kuna kila dalili mbungewa Hai kuingilia uchaguzi wa chama wilaya ya Hai na amepuuza kauli ya bosi wake comred Chongolo.

Your browser is not able to display this video.
 
Wee nae kila siku unaangaika na Saashisha. Tafuta pesa familiar yako Ile ugali kuku achana na majungu
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka leo Jumanne Septemba 27, 2022 amesema chama hicho kimefuta matokeo ya chaguzi tano za UVCCM pamoja na kusimamisha chaguzi zaidi ya tatu za Jumuiya ya Wanawake, kutokana na ukiukwaji wa maadili, rushwa na upangaji safu za uongozi.

Chanzo: MwanaHalisi
 
Cc: SAASHISHA MAFUE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…