Mabadiliko ya teknolojia yanayoendelea kwa kasi duniani kila siku yanakuja na gharama yake. ili kwenda nayo sambamba inatupasa kubadili mfumo wetu wa maisha ya kila siku ikiwemo namna tunavyofanya shughuli mbalimbali la sivyo tunajikuta tumeachwa nyuma. jinsi mambo yalivyokuwa miaka kadhaa iliyopita ni tofati na yalivyo hivi sasa,moja kati ya nyanja zinazoguswa na mabadiliko haya ni ufanyaji wa biashara.
Biashara ya hivi sasa na kadri maiaka inavyoendelea inafanyika zaidi kiteknolojia na kama hautapokea mabadiliko haya ni dhahiri kuwa utashindwa na wenzio wanaofanya biashara kiteknolojia. kwa nchi zilizoendelea huwezikuwa mfanyabiashara uliyefanikiwa pasipo kutumia faida zinazoletwa na mabadiliko haya ya kiteknolojia,kwa nchi za kiafrika ni wafanyabiashara wachache ambao tayari wamepokea mabadiliko haya na kuona faida zake.
Ili biashara yako ifanikiwe na kutimiza malengo ni lazima iwe inafahamika na iliyo karibu na wateja wako popote pale walipo.kama watu hawaifahamu biashara yako ni vipi watakuwa wateja wako ?. dunia ya sasa imekuwa ndogo mno kiasi kwamba unawezakuifikia dunia nzima kwa njia ya mtandao ndani ya dakika chache tu na kupata wateja wa bishara yako. ili ufanikiwe kwa kiwango kikubwa pasipo kujali aina ya biashara unayofanya hivi leo unahitaji kuwa na website ya biashara inayoreflect malengo na your targeted customers.
Kuna baadhi ya wafanya biashara bado hawaoni umuhimu wa kuwa na website za bishara azao au kampuni, kama wewe ni mmoja wao basi endelea kusoma kwani hii ni kwa ajili yako.
Zifuatazo ni faida kumi za kuwa na website yako ya biashara;
1. Kuongeza wateja wako
Kiwa na website utakuwa na nafasi ya kufikia wateja wako nchi nzima na pengine ulimwengu kwa ujumla. kwa mfano bishara yako ipo kinondoni au dodoma kama huna website basi utapata wateja wakinondoni au dodoma tu kwa sababu ndipo ilipo lakini ukiwa na online presence you will be evrywhere and who knows how many people will be attracted by your products !
2. Sehemu ya taarifa
Sehemu ya kwanza ambayo watu wanatafuta taarifa au bidhaa hivi sasa ni google (mtandaoni), website yako itakusaidia kufikisha ujumbe kwa hawa wanaotafuta huduma unayotoa. kama huna website nani atakufikia ?.
kama huna website ni vigumu watu kukufahamu.
3. 24/7/52 availability
Biashara nyingi huwa zinafunguliwa kwanzia saa 2 asubuhi pengine mpaka 12 jioni kisha unarudi nyumbani. huwezi kujua ni wateja wangapi unawakosa pale unapofunga na hakuna njia yoyote ya kuweza kukusaidia kuwapata wateja waliokuta ofisi yako imefungwa,lakini website yako iko wazi masaa 24 kwa siku, watu wataweza kukufikia hata ukiwa umelala na kupata kile wanachohitaji.
4. Increase credibility and Professionalism
Want to look professional and gain credibility for your business? Everyone does. kuwa na website kunakutofautisha wewe na competitors wako na kukupa professionalism na kukufanya uonekane serious na kitu unachokifanya. ukiwa kama wengine huwezi kupata faida zaidi na kufikia malengo yako.
5. Gharama ndogo ya utengenezaji na maintanance
Wengine wanahisi kuwa kuwa na website ni gharama kubwa na inachukua muda sana lakini huo si ukweli wa mambo. gharama zake ni ndogo na unaweza kuafford pasipo kuumiza sana mfuko wako kwani lengo ni kutengeneza pesa na si kupoteza pesa. hapa tengenezapro tunathamini sana wajasiriamali na kama biashara yako ni changa basi wasiliana nasi kwani tuna package special kwa ajili ya wafanya biashara wanaoanza au wako katika hatua za mwanzo.
6. Hakuna gharama ya matangazo
Ukishatengeneza website yako hakuna gharama za ziada kuitangaza kama inavyodhaniwa. ubunifu mdogo na njia kadhaa tunazozifahamu zitaokoa gharama ya matangazo nakukuwezesha kuongeza wateja wako.
7. Sehemu ya matangazo
website yako inawezakuokoa pesa nyingi unazopoteza kwenye aina nyingine ya matangazo na wakati huo huo kukuwezesha kutangaza biashara yako effectively and at very low cost.
8. Customer feedback
Najua unatambua umuhimu wa customer feedback kwamafanikio ya biashara yako kwa hiyo sitazungumzia ana swala hilo hapa.website inakupa nafasi ya kujua ni kiti gani wateja wako wanapenda na kitu gani hawapendi kuhusu huduma unayotoa, taarifa hizi zitakusaidia kuboresha huduma na kuridhisha wateja wako. Website itakuwezesha kufahamu ni wateja wa aina gani wanaopenda huduma zako na namna ya kuweza kuwafikia.
9. Source of income
Website yako pia inaweza kuwa chanzo cha mapato kama ukitaka kuitumia hivyo. njia ziko nyingi na zinatofautiana kulingana na mahitaji lakini inawezekana kuongeza mapato kupitia website yako. Katika mambo ambayo tunayatilia mkazo katika kazi yetu ni kutengeneza website ambazo zinawezakurudisha gharama ya matengenezo na maintanance cost pasipo kutegemea chanzo kingine cha mapato.
10. Control
Wewe kamammiliki wa website una uamuzi wa nini cha kufanya na kwa wakati gani katika website yako kwamanufaa ya biashara yako. una uwezo wa kutengeneza awarenes compaigns kuhusu huduma unazotoandani yamuda wowote.
UFANYE NINI SASA?
Team yetu hapa tengeneza pro ipo tayari kukusaidia muda wowote. kama bado huna website ya biashara yako au ungependa tuifanyie marekebisho yoyote na unahitaji watu wenye uzoefu na ujuzikufanya kazi hiyo basi upo sehemu sahihi.
Bye Tengeneza Master