Sababu 10 kwanini Msuva Atachagua Yanga SC na Sio Simba SC

Hersi atakua anajua kubembeleza wanaume wenzie aiseee maaana manara katuliaa kama sio yeye aliekua anasema abaaaaaadaniii mimi utopolo mimi abaaaaadaniii. Hahhahhaah utopwizoooo
 
Kwa viwango vya CAF siongolei kwa viwango vya Kariakoo. Hivi shuleni ulienda kusomea ujinga? Na hiyo picha ndiyo mwonekano wako unapokuwa umekalia kitu kigumu chenye ncha butu.
watu mliozoea kukalia maboro akili zenu zinawaza maboro muda wote
 
Aibu yako, kamchukueni huko Saudia sasa.
 
"YANGA WENYE AKILI NI WAWILI TU MZEE MANARA NA KIKWETE"
HAJI MANARA.
 
Msuva kaikataa project yenu??

Uke mshahara anaopewa kule Uarabuni mngeweza kumpa hata nusu?

Unajua kwa jinsi mnavyoiongelea Yanga Sc, i'ts as if mna hela kumbe ni za mbogamboga tu[emoji1].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…