Uchaguzi 2020 Sababu 10 kwanini tumpumzishe Rais John Magufuli

Mkipewa nchi mtafanya nini? Huu ndio upuuzi mnaowaza, hamuwezi pewa nchi na watanzania. Mtaendelea na porojo za mitandaoni
 
Hapo kwenye udini ndugu yangu mtoa mada naomba ni mtetee Magu japo simkubali...
Naomba nikuulize umaskini una dini?,ujinga una dini?magonjwa yanadini?
Embu waislam mwache vituko vyenu vya kike.
 
Uzuri wa JF unaandika post ukiwa peke yako,huu upuuzi wako itokee tu siku hata kipindi cha kampeni uuseme,nakuhakikishie utaishia kupopolewa mawe na wananchi,mbwembwe zingine weka pembeni Magufuli anakubalika kwa Watanzania na hatakuwa na upinzani katika uchaguzi mkuu October 2020,98% ya kura zote atachukua na 99% ya wabunge wote wa Bunge la JMT watatoka CCM.
 

Umeeleza ukweli mtupu, mtaani vyuma bado vimekaza kichizi. Anayekwambia tofauti ujue huyo anapiga propaganda au kalishwa propaganda imemuingia!
 
Mjinga hudhani mawazo ya maana ni ya kijinga kwa sababu upeo wake na uelewa wako ni mdogo. Huwezi kuelewa thamani ya
mawazo makubwa. Ndiyo maana wewe umetoa comment hiyo ya kipuuzi na ya kipumbavu kabisa
ndugu unapenda yupi???

-kiongozi bora au kiongozi safi??
-kuonyeshwa au kuoneshwa??
 
Kuwaongoza wa tz bila ubabe Mambo hayaendi, kwenye mishahara kweli tunaumia ila anafanya vizuri!
 
Hoja ya udini ndo imeharibu huu uzi.. mengine sawa
 
Waandishi baadhi wamekuwa watumwa wa propaganda ili ku-savaivu!
 
Duh!
Ila kuna watu mna muda wa kupoteza?
Yaani unakaa kuandika upuuzi huo unataka wananchi wakatupopoe mawe?
Kwani Ndg yaliyo andikwa ni uongo??
Wewe ni mfaidika wa mfumo huu mbovu wa wasiojulikana???
 
Si kwamba anapambana na ufisadi bali anautumia ufisadi kupambana na wasiotaka kumuabudu tumeona dabo standard Sana kwenye ili.
Amewekeza zaidi kwenye cheap propaganda ili kugain attention za futureless people ( wanyonge) kuliko Hali halisi.
Awapendi kabisa watumishi thus anawakomoa Kama hisia hofu za kuishi walimpigia Lowasa hivo anawakomesha.Yoote haya ni kuukimbiza upepo.
Ana chuki Sana na watu waliofanikiwa thus anatamani wote wawe masikini,amewafanya watu wawe masikini kwa kuwasomesha namba ili wamuabudu.
Anawatumia machinga na bodaboda Kama kampeni akishapata atawatupilia mbali na kuwasahau again 5 yrs.
Anawahonga viongozi wa dini kwa kufanya kampeni makanisani kwa kuwamwagia pesa ili kununua wema machoni pa watu kwa kutumia Kodi zetu lakini Hana hila mbaya moyoni,asaidii kwa kumaanisha bali kujifisadi ubinafsi wake.
Kwa Jamii ya watu wanaojielewa wasingemruhusu hata kugombea uenyekiti wa hata mtaa.
Si mzuri kuongoza watu Bali wanyama sababu anawaburuza watu Kama mbuzi.
Ataumiza Sana watu kipindi cha pili,na tukifanya kosa again,atoki tena, connect dot kwann Ikulu mpya Hali iliyopo ni toshelevu kwann Kinga ya kutoshtakiwa je kuna mema mbeleni huko zaidi ya kusaga meno.
 
Kiukweli kwa Sasa hakuna mbadala wa Magufuli Tanzania, pamoja na madhaifu aliyonayo JPM Ni Rais imara Sana!

Tuambizane ukweli, hakuna wa kumlinganisha naye kwa Sasa!

Ukweli mchungu!!
kwakweli ametengeneza misukule kibao mtandaoni kama wewe ili imsifu kuficha udhaifu ni kweli hakuna rais aliyefanya kitu kama hichi
 
Haya makala yawekwe kwenye disc au yapelekee kwenye gazet LA Tanzania' daima umechambua vxr tu cna neno ila UKwel upo
wewe mwandiko wako tu haueleweki ni jinsia ipi au wanakulamba jicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…