Sababu 10 za kwenda kwa babu....

Tom Cruise

New Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Ndugu,
Sababu 10 zinazowafanya watu kujazana kwa Babu.

1.Huulizwi ugojwa 2.Hupimwi. 3.Hulazwi. 4.Huandikiwi doz 5.Hupigwi Xray 6.Hufungwi P.O.P 7.Huwekewi drip 8.Hupewi miwani 9.Huchomwi sindano. 10.Huambiwi rud kesho. watanzania hatuulizani tena umepima? Tunasema umeenda kwa BABU?Gtime.
 
mashabiki wake wakija watasema ni IMANI!

hata hivyo nafikiri hii si ya kujibiwa na daktari
 
Hizo 7bu umezifanyia reseach kwa muda gani au unahisi tu mm nadhani zipo zaidi ya hizo kama vile 11.kujipatia ujiko, 12.ushamba e.t.c
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…