Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
wenye akili wanakuangalia halafu .......
mwakaboko aka chura uliyelazimishwa kunywa maji ya moto we endelea kupiga kelele mpaka ukaribie kupasuka na hao waliokushikia akili watakukimbia tu maana uongo uliomezeshwa umefikia ukingoni.
nilisha kwambia kwamba ondoa wasiwasi Katiba Pendekezwa itapita, hata kama wananchi watapiga kura ya hapana itapitishwa. Inaonesha hutunzi kumbukumbu vizuri kwani kwenye BMK, ilikuwaje? si ilipita kipi cha kuizuia isipite sasa. Ondoa shaka utapata kiinua mgongo chako kwa hili unalolifanya sasa la kutukana watu bila sababu, au tumefanya kosa kusema katiba ya chenge inalinda wezi wa mali ya umma?Mwakaboko aka Chura uliyelazimishwa kunywa maji ya moto we endelea kupiga kelele mpaka ukaribie kupasuka na hao waliokushikia akili watakukimbia tu maana uongo uliomezeshwa umefikia ukingoni.
Jifunze kwa waliofanikiwa sio kwa waliofelikatumwa huyo na watu flani kwahiyo anaposhindwa kujibu hoja ndo anakuwa hivyo, wala usimshangae kabisaaa ndo alivyo huyo.
Jifunze kwa waliofanikiwa sio kwa waliofeli
itakuchukua miaka mingi kujua kuwa jina lako ni laana kwa nchiSASA WEWE NDO UMEFELI MWAKABOKO, KWANZA JINA LAKO NAMATENDO YAKO YANAJIDHIHIRISHA JINSI AKILI YAKO ILIVYO, AKILI YAKO IMEEXPIRY NA HUJUI KUWEKA HOJA ZAIDI YA KUPANICK PALE UNAPOONA UMEZIDIWA, POLE SANA NDUGU VUMILIA TU NDO UKUBWA HUO KAMA MANENO YANGU YANAKUUMIZA SANA BASI PUMZIKA KOJOA UENDELEE KULALA NAONA LEO UMEKOSA UCNGZ MPAKA UMEJIHIMIA ASUBUHI KUONA MAJIBU YANGU KWAKO. Hahahaha MWAKABOKO HUNA SERA WEWE UMEFULIA. ACHA KUPANICK WEWe kasome katiba uielewe na uweke hoja za maana, hapa nakupa dozi tu mpaka uchanganyikiwe.
itakuchukua miaka mingi kujua kuwa jina lako ni laana kwa nchi
MWAKABOKO AKILI YAKO CJUI IMELEWA BANGI NA IMEVUTA GONGO???!! DUH UNAONEKANA UMEISHIWA MANENO HUMU NDANI, C UTOKE UFANYE MAMBO MENGINE KAMA KUPIKA, KUOSHA VYOMBO, KUMWOGESHA MTOTO N.K HIZI CO FANI ZAKO MWAKABOKO. We fanya hayo nlokushauri, jamaa hapo juu wanakushinda kwa points tupu.
hizo sababu hazina mashiko kabisaa ni za kutunga tuu, hii katiba mnawivu nayo afu nawashangaa utadhani si watanzania bhana, kwani nyie wa wapi? Yani hamuitakii mema nchini yenu? Sa mnataka katiba ipi? Au ya kwenu nzuri iko wapi? Kila kukicha nyie lawaman tuu, jamani hata kwenye mazuri muonekane kusema bhana sio busara hizo na ni dhambi kwa mungu!! Khaaa
kwani suala la katba likiahirishwa mpakabaada ya uchauzi mkuu cmm maingia msituni. Mataki mema a nhi ni yepi.
maaskofu kushauri wananchi wapige kura ya hapana wapo sahihi kabisa
jumuia ya kikristo tanzania (cct) na baraza la maaskofu katoliki tanzania (tec) walitoa taarifa kwa wakristu wote na wananchi kwa ujumla wajiandikishe kwa wingi ili wapige kura ya hapana kwa katiba inayopendekezwa..maneno mengi yamesemwa kuhusu kauli hiyo,wapo wanaounga mkono na wapo wanaopinga.
Ukweli upoje katika hili?
Ukweli ni kwamba maaskofu wapo sahihi kabisaa kutokana na sababu 10 zifuatazo;
1. Katika suala hili la katiba mpya halina maridhiano ya kitaifa katika mchakato mzima.
2. Mchakato ulivyoanza dini zote za kikiristo na kiislam zilishilikishwa lakini mchakato ulipofikia kwenye bunge maalum,ushauri wa viongozi wa dini ulianzakupuudhwa, hasa waliposhauri mchakato usimame hadi maridhiano yapatitakane na kundi lililotoka nje la ukawa, ili kutengeneza muafaka wa kitaifa.
3. Mambo mhimu yaliyokuwepo ktk rasmu ya katiba yamepuuzwa.
4. Mda wa kupewa elimu kwa wananchi ni mdogo sana hautoshi kwa wanaichi kuielewa katiba inayopendekezwa,katiba pendekezwa zinazosambazwa kwa makadilio ni kama nakala 40 ya katiba pendekezwa kwa kila kijiji kimoja. Hazitoshelezi
5. Kuna dalili za kuingizwa mahakama ya kadhi, ambayo hayana maslahi ya kitaifa zaidi ya kutafta kuungwa mkono na wananchi wa upande wa zanzibar.
6. Hakuna mwafaka wa maridhiano wa kundi moja la upinzani (ukawa) ambalo tayali lishatangaza kususia kushiriki katika mchakato wa kupiga kura ya katiba pendekezwa.
7. Haiwezekani kwa nchi maskini kama tanzania ifanye mambo makubwa ya kitaifa ndani ya mwaka mmoja, (a).uchaguzi wa serikali za mitaa (b).kujiandikisha na kupiga kura ya katiba pendekezwa (c) uchaguzi mkuu…ina maana hakuna mambo mengine ya kufanya? Kuna haraka gani kuyafanya haya?
8. Hata kama tutapiga kura mwaka huu, katiba hatianza kutumika mwaka huu kutokana na mchakato.
9. Kutokana na sintofahamu, kwanini serikali inaharakisha mchakato na kwanini isifanye marekebisho madogo ya katiba ya mwa 1977,kama lengo ni uchaguzi mkuu?
Viongozi wa dini wana nafasi kubwa sana katika kubariki au kukataa mchakato kutokana mamlaka na kibali mbele za mungu…hata nabii mussa ambaye alikuwa kiongozi wa wana wa israel, alipewa mamlaka ya kukataa au kuruhusu jambo, utaona pale alipowaongoza wana wa israel wavuke bahari ya shamu na wakatii
kwanza maaskofu ni wasomi kuliko kiongozi yoyote wa ccm.
Hivi sitta anasali kanisa gani? Hili babu sitalisahau lilitukana sana viongozi wa kikristo
hapana katiba pendekezwa
hapana katiba pendekezwa
Nashukuru sana kuona mwanafunzi wangu Mwakaboko wa chekechea karudi ulingoni ili kufundishwa. Kwa sasa ameweza kushika kalamu lakini kusoma bado. Hivyo ndugu yangu njoo niendelee kukufundisha ili ujue kosoma pengine utasoma Katiba inayopendekezwa na kuielewa kuhusu kupiga kura hutaweza kwani ni juzi tu umehitimu chekechea hivyo unaenda grade I mwakani. Hivi vitu vya katiba vinakuzidi ufahamu. Umesikia eeh!