Muamba ngozi huvutia kwake, Serikali (ya ccm) lazima ivutie kwake coz ndo imeratibu mchakato mzima wa katiba inayopendekezwa.
LAKINI;
Bila kuonesha ushabiki, itikadi nk. kwa kuzingatia hizo sababu walizoziona maaskofu pamoja na mapungufu mengine ndani ya "katiba inayopendekezwa" ni dhahiri kura ya HAPANA ni sahihi kabisa