sasa kama zinaweza kufikia zaidi ya 50 kwa kweli itabidi tu tumuombe asigombee tena.. kwa hiyo hakuna mipaka..
Chaguo la Mungu hilo huwezi kucheza na mungu kwa hiyo inabidi uvumilie kwasababu askofu wako kasema hivyo au uko against maaskofu siku hizi?Baada ya kutafakari sana, nimepata sababu 51 za kwanini Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama chetu Cha Mapinduzi aamue kutoshiriki kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu mwakani. Ninajua kwamba ni "mtaji" kwa upande wa kina Makamba na vile vile ana "sura nzuri" na bla bla bla..
Sasa kati ya hizo 51 nitaanza na zile mbili za mwisho yaani ya 50 na 51. Bila ya shaka na wewe unaweza kuwa na za kwako.. hivyo nawakaribisha wale ambao wanaweza kukisikia au kuchangia sababu zile nyingine 49!
51: Alisema kuwa akichaguliwa tena ataleta vijana na kuwa watu wa rika "lake" waanze kuachia ngazi. Well, kwa vile yuko rika moja nao basi na yeye aungane nao!
50: Hajui kwanini Tanzania ni maskini licha ya kuwa kwenye utumishi wa serikali kwa karibu miaka 30 sasa! Kiongozi asiyejua chanzo cha tatizo ataweza vipi kuliondoa isipokuwa kuziba tu dalili zake.
Ila mpaka sasa study hypothesis yangu inaniambia watampitisha JK,though HASTAILI, so HATUJAKOMAA BADO KISIASA.
Anayetekeleza maagizo ya bunge ni pinda nafikiri tumshauri asimchague hyo kilaza baada ya uchaguzi45 Kupitia katibu wake alitangaza kwamba makampuni 13 yalikuwa yameiba pesa za epa kijinai lakini bila kutarajia JINAI ikaundiwa tume kupoteza umda.
44. Hotuba yake bungeni alitueleza kwamba account ya EPA ilikuwa na kiasi cha billion 260 sasa baada ya kuibiwa Bl.133 hakutuweka.wazi ziliko zilizobaki bila kuibiwa.
43: ameshindwa kutekeleza maazimio 23 ya bunge hivyo kusababisha wahalifu waliotuhumiwa kuleta vurugu tunayoishughudia nchini sasa.
Chaguo la Mungu hilo huwezi kucheza na mungu kwa hiyo inabidi uvumilie kwasababu askofu wako kasema hivyo au uko against maaskofu siku hizi?
Hii sababu ya 51 ondoa maana yeye atawaweka vijana sasa akiondoka nani atakayeweka?
Hii sababu ya 5o ondoa maana ume quote sentezi out of context" huwezi chambua jambo bila kujua alisema hivyo wakati gani, ndani ya maongezi gani etc..
Migomo ni dalili ya demokrasia na uhuru ambao ndio azma yake..ulifikiri watu hawakogoma zamani kwasababu gani kumbuke enzi zile makaburi walisindikizwa kwa polisi..uhuru ni haki yako migomo na maandamo yanaendelea duniani kote kila siku..labda ugeni wako katika demokrasia ndio tatizo.42: Migomo ya wafanyakazi isiyokwisha na kupanda kwa gharama za maisha
Anayetekeleza maagizo ya bunge ni pinda nafikiri tumshauri asimchague hyo kilaza baada ya uchaguzi
Hotuba yake ya bunge hakuwahi kusema hicho unachosema acha uwongo wa mchana
tume zimuundwa ili watu wasije kushtakiwa na serikali bila uhakika na kushindwa mahakamani pamoja na mambo tume ilikuwa inatafuta vielelezo vinavyofaa kwa ajili ya ushahidi mahakama huwezi kwenda mahakamani kama kichaa..kama unavyo suggest wewe.
hilo ni somo jingine. Kwa ufupi ni kuwa haiitajiki watu 51 kumreplace JK.. anahitajika mmoja tu!
hatuhitaji mtu safi; tunahitaji mwenye uwezo na aliyeonesha uwezo wa kutocheza kwenye uchafu.
Hii sentensi nakuomba uipitie tena na tuijadili. Haiwezekani kwamba unamaanisha hivi? Pls ufafanuzi kwa heshima zako otherwise edit.hatuhitaji mtu safi; tunahitaji mwenye uwezo na aliyeonesha uwezo wa kutocheza kwenye uchafu.
Mengi umesema ukweli na mengi hayana msingi....Ni vigezo gani hivyo umevitumia kusema kuwa safari zilizopita urais ulikwenda kwa mgombea kwa kustahili tofauti na huo unaodai alishinda kwa kuuza sura?Wakati wa Mr Clean?Mwinyi?Mzee Mwanakijiji said:Safari hii Kikwete kama anataka kuwa Rais wetu tena itabidi ajibithibitishe kwa kufanya midahalo na wagombea wengine, kusimamia rekodi yake na kujibu hoja zitakazotolewa dhidi yake. Safari hii Urais hauji kwa kuuza jina, sura, au tabasamu; safari urais utakuja kwa kuustahili.