Sababu 6 zinazopelekea kuwa na fikra (Mtwazom)mgando

Brother Hassan

New Member
Joined
Mar 30, 2025
Posts
4
Reaction score
5
Kama kuna mambo yana ludiaha nyuma maendeleo ya vijana wengi kwa sasa ni pamoja na umasikini wa kuwa na fikra tanduzi.

Na hapa kuna sababu sita zinazo sababisha vijana kujikuta katika hili janga la kuwa na fikra mgando katika jami unaweza kuyaepuka kwa kuzijua sababubu zake.

Mjadala huru
 

Attachments

  • 20250427_134818.jpg
    384.6 KB · Views: 30
Sahihi kabisa,Umekuja na nondo nzuri! Karibu New member.
 
Mfumo wa elimu📌📌

Elimu ya darasani haina room ya wewe kufikiria outside the box sanasana utasoma theory za watu uweze kujibia mtihani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…