ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Naomba kujuzwa kwanini homa homa nyingi za milipuko huwa lazima kesi zitokee jamhuri ya kidemokrasia ya kogo..mfano ebola,homa ya nyani,n.k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelezo yananitosheleza!Madini ni kama laana ndani ya Congo vita na magonjwa vinawaandama
Magonjwa ni moja ya bioweapon kuifanya Congo isiwe stable ndio sabab kila virus na bacteria vinazo fanyiwa genetic modification kwenye Lab zao kubwa testing inafanyiwa Congo hata Ngoma nazani ilianzia uko
Madini ni kama laana ndani ya Congo vita na magonjwa vinawaandama
Magonjwa ni moja ya bioweapon kuifanya Congo isiwe stable ndio sabab kila virus na bacteria vinazo fanyiwa genetic modification kwenye Lab zao kubwa testing inafanyiwa Congo hata Ngoma nazani ilianzia uko
Naomba kujuzwa kwanini homa homa nyingi za milipuko huwa lazima kesi zitokee jamhuri ya kidemokrasia ya kogo..mfano ebola,homa ya nyani,n.k
Huna D mbili wewe....issue ni madini yao wazingu wanawalipua tu na magonjwa.Misitu na wanyama ni wengi na muingiliano wa wanyama na binadam ni mkubwa sana
Kumbuka Kongo watu wanakula Kila mnyama huko porini jambo ambalo si sawa ki afya
Wazungu wanatumia kila mbinu wanayoiweza kuhakikisha kuwa hamuwezi kuendelea...Madini ni kama laana ndani ya Congo vita na magonjwa vinawaandama
Magonjwa ni moja ya bioweapon kuifanya Congo isiwe stable ndio sabab kila virus na bacteria vinazo fanyiwa genetic modification kwenye Lab zao kubwa testing inafanyiwa Congo hata Ngoma nazani ilianzia uko
Ishu ya misitu si sababu kama ni hvyo basi Brazil na majirani zake wangekuwa na shida kama DRC kwa sbb ya amazonMisitu na wanyama ni wengi na muingiliano wa wanyama na binadam ni mkubwa sana
Kumbuka Kongo watu wanakula Kila mnyama huko porini jambo ambalo si sawa ki afya
Yeah it's conspiracy Lakini zipo makala nyingi zinazo husu bioweapons zinavyo tumika ndani ya Congo ukiachilia mbali vita inayo piganwa kila siku moja ya ugonjwa unaotumiwa zaidi ni Ebora ambayo ni ugonjwa tishio ndani ya nchi yoyoteY'all conspiracy theorists are so gullible. Waache kula nyani na popo.
Misitu mikubwa yenye viumbe vya kila aina na kupenda kula nyama zaoNaomba kujuzwa kwanini homa homa nyingi za milipuko huwa lazima kesi zitokee jamhuri ya kidemokrasia ya kogo..mfano ebola,homa ya nyani,n.k