Sababu gani ilipelekea ukafukuzwa kazi?

Sababu gani ilipelekea ukafukuzwa kazi?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Habari zenu wadau.

Katika kusaka mkate wa kila siku kuna fitna na roho mbaya tunafanyiana huku makazini zinazopelekea either kufukuzwa kazi mazima au kusimamishwa.

Mimi bana nilikua kwa jamaa flani kampuni ya wakenya,nimefanya nao kazi kama miaka minne hivi,jamaa angu mmoja akaja akanichoma eti nimeanza kusoma hivyo nakula mda wa mwajiri,jamaa alikua na kadiploma kake hivyo alihisi maybe me nikipata degree ntamzidi kipato,

Uzuri jamaa nae alijua kua me nasoma nikiwa mwaka wa tatu semester ya mwisho,baada ya mwajiri kujua nae hakutaka discussion akanifukuza kazi.

Mungu si Athumani nikapata mchongo sehemu nyingine na shule nikamaliza vizuri tu.

Ebu tushee sababu zilizotufanya tukafukuzwa kazi ili na wengine wajifunze.
 
Ungeongezea nyama kidogo uulize "Pia ni sababu ipi ilifanya uache kazi".

Namimi ningekuwepo.
 
Daah nishawahi kupata kaajira fln ila nlifanya kazi masaa matano tu. Nikaacha kazi mwenyewe bila kurazimishwa boss alikuwa anagomba sana hadi water alkuwa anatukanana sana.
 
Mkuu umenikumbusha mbali kidogo....... Namie naomba kushare cha kwangu
Ilikua hivi Mwaka 2017,nilipata kazi sehemu flani ni NGO,baada ya kupata hii kazi bwana nikaanza rasmi M&E Coordinator,na nilianza kwa mbwembwe kweli ila walikua wanashindwa kunielewa coz hua nina formula yangu hii(I come i work then i go) sina mambo mengi kabisa sasa bosi alikua Mdada kasoma zake Marekani huko ana MPH yake,ni Mnyakyusa wa Kyela huko,sasa akawa ananidadisi sana kuhusu mahusiano yangu,namie nikawa namjibu juu juu kua sina hata demu wa kuzugia,kumbe ndio namkaribisha zaidi,sasa dereva wake alikua jamaa angu sana akawa ananiambia kua Maddam anakuelewa sana coz she got ur name in all her mentions,mie nikawa nachukulia poa na maisha yakaendelea na ikafikia kipindi nikawa mpaka nasema kua siwezi tembea na wanawake wa hapa ofisini kwani sio wazuri kabisa na hawana mvuto,na kipindi hicho nilikua mtu kweli hata kipara sina kama sasa hivi...... Basi buana kumbe akawa anayapata nayeye,siku moja tulikaa sehemu for lunch na dereva wake,si akaanza,et Ndibuka hujaona kabisa mwanamke wa kudate nae hapa ofisini kwetu? Namie kwa kujiamini kabisa nikajibu NDIO,kwanini? Sio levels zangu kabisa.... Natamani sana kumuona huyo demu wako,nikamwambia akipatikana utamuona tu,baadae dereva akaniambia Fvck maddam for me hata kama hakuvutii,nkasema poa....... Basi buana kila nikiandika CN zangu ananipitishia haraka kweli kweli na anapendekeza hii activity tutaenda wote,kweli safari zikawa nyingi sana mpaka ofisini wakaanza kuhisi kitu ila kwakua ni Bosi hakuna wa kuhoji,siku moja tupo Mwanza,tumefika hotelini nikaingia kwa room nae akaenda kwake,baadae akanipigia na kuniambia tukapate msosi,nikajiandaa then tukashuka chini,baaada ya msosi tukaanza kushindana kunywa kunywa JD kwa zile shots,tulilewa sana na kilichotokea siku ile kwakweli i was rapped,penzi likaanza kwa kasi sana kiasi kwamba HR Director akajua na akaniita kuniuliza ila nikakana kabisa,tuliendelea kulana kama mwaka hivi sasa si akaamua kua penzi liende mbele,nimtambulishe kwa wazazi,kweli namie nilikua nshakolea na penzi la kinyaki,nikaongea na Bi mkubwa nae akasema ni jambo la kheri sana,na akaliweka hili suala katika group la familia,kila mwanafamilia alifurahi sana na wakaomba niwatumie picha wamuone mtarajiwa wangu,kiukweli hakua mzuri wa mvuto kabisa ila mie sikujali hili.......... Group lilikua limechangamka sana muda huo nikaona kwani bei gani,baada tu ya kutuma picha group lote likawa kimya mpaka nikaanza kujiuliza kwanini.... Walipokuja kurudi aseeeh nilijuta kwanini nimetuma picha,binti wa watu alichambuliwa mpaka nikaona aibu kubwa sana nikajiona fala kweli yaani....... Ujinga nilioufanya sikufuta chochote,kama baada ya siku mbili kupita usiku tumelala kumbe Bosi/Mpenzi wangu kaanza kupekua simu na akakutana na michambo yake,niliamshwa ka kufurushwa kwake Mbweni na wakati huo mie nakaa Goba,nilipata fedheha sana........ Huko kazini sasa hakuna rangi niliacha ona yaani ilikua nafokewa nae kama mtoto mpaka HR akaniita ila this time sikua na jinsi nikamwambia ukweli wote na mbaya zaidi CEO alikua mjomba wake.......... Akanichongea mpaka nikafukuzwa bana ila hua namkumbuka sana. Popote ulipo fulani fulani Mwamtobe Mungu akupe maisha sana kwani ulinitengenezea njia ya kupata bonge shavu
 
Mkuu umenikumbusha mbali kidogo....... Namie naomba kushare cha kwangu
Ilikua hivi Mwaka 2071,nilipata kazi sehemu flani ni NGO,baada ya kupata hii kazi bwana nikaanza rasmi M&E Coordinator,na nilianza kwa mbwembwe kweli ila walikua wanashindwa kunielewa coz hua nina formula yangu hii(I come i work then i go) sina mambo mengi kabisa sasa bosi alikua Mdada kasoma zake Marekani huko ana MPH yake,ni Mnyakyusa wa Kyela huko,sasa akawa ananidadisi sana kuhusu mahusiano yangu,namie nikawa namjibu juu juu kua sina hata demu wa kuzugia,kumbe ndio namkaribisha zaidi,sasa dereva wake alikua jamaa angu sana akawa ananiambia kua Maddam anakuelewa sana coz she got ur name in all her mentions,mie nikawa nachukulia poa na maisha yakaendelea na ikafikia kipindi nikawa mpaka nasema kua siwezi tembea na wanawake wa hapa ofisini kwani sio wazuri kabisa na hawana mvuto,na kipindi hicho nilikua mtu kweli hata kipara sina kama sasa hivi...... Basi buana kumbe akawa anayapata nayeye,siku moja tulikaa sehemu for lunch na dereva wake,si akaanza,et Ndibuka hujaona kabisa mwanamke wa kudate nae hapa ofisini kwetu? Namie kwa kujiamini kabisa nikajibu NDIO,kwanini? Sio levels zangu kabisa.... Natamani sana kumuona huyo demu wako,nikamwambia akipatikana utamuona tu,baadae dereva akaniambia Fvck maddam for me hata kama hakuvutii,nkasema poa....... Basi buana kila nikiandika CN zangu ananipitishia haraka kweli kweli na anapendekeza hii activity tutaenda wote,kweli safari zikawa nyingi sana mpaka ofisini wakaanza kuhisi kitu ila kwakua ni Bosi hakuna wa kuhoji,siku moja tupo Mwanza,tumefika hotelini nikaingia kwa room nae akaenda kwake,baadae akanipigia na kuniambia tukapate msosi,nikajiandaa then tukashuka chini,baaada ya msosi tukaanza kushindana kunywa kunywa JD kwa zile shots,tulilewa sana na kilichotokea siku ile kwakweli i was rapped,penzi likaanza kwa kasi sana kiasi kwamba HR Director akajua na akaniita kuniuliza ila nikakana kabisa,tuliendelea kulana kama mwaka hivi sasa si akaamua kua penzi liende mbele,nimtambulishe kwa wazazi,kweli namie nilikua nshakolea na penzi la kinyaki,nikaongea na Bi mkubwa nae akasema ni jambo la kheri sana,na akaliweka hili suala katika group la familia,kila mwanafamilia alifurahi sana na wakaomba niwatumie picha wamuone mtarajiwa wangu,kiukweli hakua mzuri wa mvuto kabisa ila mie sikujali hili.......... Group lilikua limechangamka sana muda huo nikaona kwani bei gani,baada tu ya kutuma picha group lote likawa kimya mpaka nikaanza kujiuliza kwanini.... Walipokuja kurudi aseeeh nilijuta kwanini nimetuma picha,binti wa watu alichambuliwa mpaka nikaona aibu kubwa sana nikajiona fala kweli yaani....... Ujinga nilioufanya sikufuta chochote,kama baada ya siku mbili kupita usiku tumelala kumbe Bosi/Mpenzi wangu kaanza kupekua simu na akakutana na michambo yake,niliamshwa ka kufurushwa kwake Mbweni na wakati huo mie nakaa Goba,nilipata fedheha sana........ Huko kazini sasa hakuna rangi niliacha ona yaani ilikua nafokewa nae kama mtoto mpaka HR akaniita ila this time sikua na jinsi nikamwambia ukweli wote na mbaya zaidi CEO alikua mjomba wake.......... Akanichongea mpaka nikafukuzwa bana ila hua namkumbuka sana. Popote ulipo fulani fulani Mwamtobe Mungu akupe maisha sana kwani ulinitengenezea njia ya kupata bonge shavu
Naomba no. Yake natafuta mke mwenye sura mbovu nisisumbuliwe na bodaboda
 
Nimei-screenshot simulizi yako na kesho naitafutia fremu itulie ukutani for further uses.Mwaka 2071 has been put into account.
 
Habari zenu wadau.
Ktk kusaka mkate wa kila siku kuna fitna na roho mbaya tunafanyiana huku makazini zinazopelekea either kufukuzwa kazi mazima au kusimamishwa.
Mimi bana nilikua kwa jamaa flani kampuni ya wakenya,nimefanya nao kazi kama miaka minne hivi,jamaa angu mmoja akaja akanichoma eti nimeanza kusoma hivyo nakula mda wa mwajiri,jamaa alikua na kadiploma kake hivyo alihisi maybe me nikipata degree ntamzidi kipato, uzuri jamaa nae alijua kua me nasoma nikiwa mwaka wa tatu semester ya mwisho,baada ya mwajiri kujua nae hakutaka discussion akanifukuza kazi.Mungu si Athumani nikapata mchongo sehemu nyingine na shule nikamaliza vizuri tu.
Ebu tushee sababu zilizotufanya tukafukuzwa kazi ili na wengine wajifunze.
Hua naacha tuu
 
Mbona umefukuzwa kazi kwa sababu laini sana hivyo? Ilikua ni kazi au kibarua?
 
Nilifukuzwa kaz baada ya boss kugundua kuwa namchapa mkewe.

Boss alikuwa na kibamia. So mkewe alipogundua kuwa nina mguu wa tatu akaomba mechi ya kirafiki. Baada ya kunogewa ikabidi tuwe wapenzi wa moja kwa moja kwa njia ya kificho hadi tulipogundulika.
 
Naomba no. Yake natafuta mke mwenye sura mbovu nisisumbuliwe na bodaboda
Hata sina namba yake ila mwaka jana nilionana nae Wizarani Dodoma katika Warsha moja hivi.......... Aliniangali na kama alitaka kunisemesha ila mie nikawa uso wa mbuzi.............,.. kama uko Serious namba yake ni rahisi kuipata
 
Niko serious mkuu
 
Back
Top Bottom