Naomba mnisaidie jamani ebitoke analindwa kwa kipi hasa ?
Hana utajili wowote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusubiri waifute jfebitoke ndo nani?
afu haya mambo y fb na insta mbona mnayaleta huku?
Duuuh hilo jicho sijui ntaota usikuNasikia kuna wadada wanamuonea gere yeye kuwa na benpol kwa hiyo anahofia kupigwa nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app