Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,026
- 2,266
Mimi binafsi yale nayaita maandamano sio uasi.
Sababu kubwa iliyowapelekea Wagner kuasi ni shutuma zao Kwa wizara ya ulinzi ya Russia kudhohofisha operation.
Prigozhin anamlaumu Sergei Shoigu (waziri wa ulinzi ) Kwa madai ya kuagiza Kwa Siri kulipuliwa Kwa baadhi ya kambi za Wagner
Wagner walikataa kupokea order za Shoigu hivyo walifanya maandamano ya kumshinikiza Putin amuondoe Shoigu,tayari takwa lao limesikilizwa na safari ya kurudi Ukraine imeanza.
Shida iko pale pale Kwa Ukraine prigozhin kasema
"Tunafurahi sana kwamba kwa sasa tumeweza kuepuka umwagaji damu. Hatupaswi kupigana risasi(wenyewe Kwa wenyewe) tunapaswa kuharibu Vikosi vya Wanajeshi wa Ukraine na kukomboa ardhi ya asili ya Kirusi."