Ili urudi ulipo toka lazima ukubali kwamba umeshuka na uwe tayari kuishi maisha ya chini ambayo yanaendana na budget yako iLi pesa unazozipata uweze kusave upate mtaji uanze kurudi kwenye mfumo mdogo mdogo.
Fact ni kwamba mtu yeyote aliye katika level yoyote ikiwa aliwahi kuwa na pesa za kutosha then akashuka kiuchumi huwa ni ngumu kukubali matokeo ya kuundergrade lifestyle yake ambayo alikua anaiishi hapo mwanzo kwakuhofia kuchekwa.
Kwahiyo unakuta hata mkimsaidia kifedha hazitumii kwenye maswala ya kibiashara ila anazitumia kwenye kumaintain ile lifestyle yake.
Na asili ya kila mwanandamu huwa anaomba au kukopa pesa pale mambo yanapofungamana na presha kuwa kubwa Kwahiyo unakuta bills zimefungamana, huku unadaiwa kodi, mara ada za shule na bills nyingine nyingine ndio unatafuta means ya kuazima au kukopa pesa.
Na ukipewa pesa yote inaishia kwenye hizo bills na unarudi kwenye comfort zone yako unaanza kuhustle kutafuta pesa ya kula na akili ikikaa sawa unakumbuka kwamba unahitaji mtaji ila unajikuta wale watu wote ambao ulikua unategemea wakukopeshe wanakudai in short haukopesheki yani na hapo ndio maji utaita mma mbaka pale utakapo kubali kwamba maisha yako yamebadilika so unatakiwa kuanzia chini Ili upande nayo mdogo mdogo.
NB: Kuanguka kiuchumi hadi urudi tena pale ulipo kua huwa haichukui mwezi au mwaka bali ni miaka kwasababu watu hawa hata akili zao huwa zinakua haziko sawa. Kwahiyo hii ni bato ya Wewe na Wewe na kadri unavyotaka kurudi pale juu kwa haraka ndivyo unavyozidi kufanya makosa mengi ambayo yanazidi kukudidimiza chini na kadri unavyozidi kudidimia ndio utazidi kuwa depressed na usipo kuwa makini waweza kuugua wehu, kufa au kushinda umejifungia ndani kwa mentality ya watanionaje.
credit zote kwa Thecoder kwenye comment yake >>hii<<