Ni nini hasa kinasababisha mtu afikirie kuingia kwenye ndoa? je ni kwa ajili ya sababu zifuatazo :-
1. Kutii agizo la Mungu.
2. kuondoa upweke
3. kupata watoto
4. kuogopa maneno ya watu
5. Umri kufika au miaka kusonga
6.kwa sababu umezaa tayari na mwenza wako au mmepeana mimba
7. Shinikizo la Wazazi
8.au kuna sababu nyingine zaidi ya hizo? Tusaidiaine ili tuweze kueleimishana ni ipi sababu nzuri hasa ya kuingia kwenye ndoa.
Ni nini hasa kinasababisha mtu afikirie kuingia kwenye ndoa? je ni kwa ajili ya sababu zifuatazo :-
1. Kutii agizo la Mungu.
2. kuondoa upweke
3. kupata watoto
4. kuogopa maneno ya watu
5. Umri kufika au miaka kusonga
6.kwa sababu umezaa tayari na mwenza wako au mmepeana mimba
7. Shinikizo la Wazazi
au kuna sababu nyingine zaidi ya hizo? Tusaidiaine ili tuweze kueleimishana ni ipi sababu nzuri hasa ya kuingia kwenye ndoa.
Me Mwenzenu nlikuwa nimechka haya maisha ya kubadilisha halafu nilikuwa sifurahii sana kuwa na mademu wengi pia nikifanya nlikuwa najuta sana nikaona huyu ni Mungu ambaye anafanya kazi ndani yangu, nikachukua hatua nikasema Jamanii eeee mimi naoa wakafikli masihara,huwezi amini ss na mtt 1 na sijawahi kumsaliti Mke wangu na huwa sifiliiii kabisa , kama huamini soma,
1WAKORINTO7:1-5. Kwahiyo sababu kubwa sana kwangu ni Mung
Sababu niligundua I have better chances to live a happy life with him than without him.
Kwahiyo asingekuwa na hela asingekuoa wewe au asingeoa kabisa. @ Husninyo.
Unataka upate jibu kama vile swali lako ni geography, chemistry au physics. Hamna awezae kukujibu kama fikra ni zakishule. Kwanza jiulize wewe ulikujaje katika dunia hii......................
No, this question won't work... How on earth are you ever going to explain in terms of chemistry and physics so important a biological phenomenon as first love?Try falling in Love. It is animal instinct.