Sababu ipi imekufanya ufunge PM yako au usifunge PM yako?

Sababu ipi imekufanya ufunge PM yako au usifunge PM yako?

Hold on

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2023
Posts
482
Reaction score
1,126
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi sijafunga kwasababu sion sababu ya kuifunga nikipata sababu nitafunga
 
Mimi hata sijui kama PM yangu imefungwa au ipo wazi,
Sijawahi kushughulika nayo na pia haina kazi yeyote kwangu.
 
Mishangazi ya humu ndio imenifanya niifunge.

👉 na huyu Cheusi Dawa wangu😊😍😘👇
9e85a16bf992007db548bc0594502caa.jpg

umuone hv hv. mkorofi huyu👐🙌
Sema penzi bana. akiniona naingia humu anaanza, lijay to yeye ndio nikajua naye yumo humu
 
Back
Top Bottom