lil wayne
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 992
- 904
Kuna kitu nimegundua ambacho kinatofautisha Klabu ya Simba na Yanga kwenye nyanja nzima ya kuwania Ubingwa.
Ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa kikosi cha YANGA kina (depth) kubwa mno na wachezaji wake wengi ni vilaka ukilinganisha na mahasimu wao SIMBA.
Naona huenda ikawa sababu ya kuwa na Wachezaji wengi pia wenye uwezo wa kufunga....
1. Wachezaji wengi wa safu ya ushambuliaji wa Yanga ni vilaka... Nikimaanisha NGOMA anaweza cheza 9/7/11 kwa ufanisi ulio sawia, Tambwe anaweza cheza 9/10 kwa ufanisi ulio sawia, Chirwa anaweza Cheza 9/7 kwa ufanisi ulio sahihi.
Hebu nijie washambuliaji wa Simba wenye sifa hizi.
Au niletee goli la kichuya alilofunga akitokea kushoto?
Ni lini Ajib alicheza 7 akafanya vyema?
Au ni lini Mavugo kacheza 7?
Wachezaji wengi washambuliaji wa simba hawana sifa ya kuwa vilaka, hili linapunguza sana option ya mwalimu kuweza kufanya changes za kuzaa matokeo pale team inaposhindwa plan A.
Ninasema Yanga ndio klabu pekee yenye 'The most diversified attackers kuliko klabu yeyote' Hili humuwezesha hata Mwalimu kufanya rotation ya players.
2. Hebu tuzungumzie safu ya ulinzi.
Haji/Joshua
Kessy/Abdul
Yondani/Vicent
Bossou/Nadir.
Usimsahau kilaka wa kirundi anayeweza Cheza popote hapo nyuma.
Hebu angalia hapo.....
Sasa nyie mbona kila siku huku Bokungu.. Kule Zimbwe Jr. Hapa Mwanja.
Wanaobafilika ni akina Juurko/Lufunga.
Hivi mnawalinda milango wangapi.? Agban & Manyika tu?
Ona wenzanu wana walinda milango 3 wenye Ubora sawia kabisa... Yaani leo mwalimu akiamka anasema namtaka huyu awe golini.
Sasa ndugu zangu kuna Uchovu/Fatigue ambayo most of your players wanayo sasa.
Aina ya wachezaji wenu ni rahisi kwa mpinzani kuwakabili...... Maana kikosi kinabadilika kwa Juurko, Blagnon na Ajib tu.
Unapo kuwa na wachezaji wenye kuweza Cheza nafasi Tofauti kama Yanga unatengeneza mtihani mwingine kwa adui kuweza kujua jinsi ya kukukabili.
Ngoja niishie hapa tu. Ila nawaambia mtapata shida sana kubeba Ubingwa na aina ya depth ya wachezaji wenu hao.