Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
wanandugu tumekuwa tukiangalia upande mmoja kwa mafisadi lakini lazima tuangalie uhalisia...j kwa nchii jinsi ilivyo kwa nini usiibe..personal sijaona maisha yanayoni atract kuishi bila mwizi...sasa hivi kila sehemu makazini...majuzi nesi kamuu mjazito kakosa sh 5000 embu tuangalie tatizo nini....na kwa nini 5000 inaweza ondoa maisha ya mtu na mwane...je jichunguze leo hii maisha yalivyo kwa nini usitafute maisha bora kwa kila mtanzania...mi nafikiriatu hawakumuelewa rais vizuri maisha bora ni wewe na akili yako hutoletewa maisha bora chumbani hata sikumoja...kaza buti popote penye nafasi washa usiogope weka future yako mengine baadae