Sababu Kuu 7 Zinazowafanya Wanaume Wakimbilie Kuoa - Wanawake Mpo Hapo?

Mwanaume kuoa muhimu na mwanamke kuolewa muhimu. Ndio maana Mungu alivyomuumba Adamu akaona si vyema akae peke yake, akampa msaidizi. Ujue watu siku hizi hawaoni umuhimu wa kuoana, lkn ndoa ni muhimu sana kwa binadamu. Mtu unaweza kusema utakuwa single lakini kuna kipindi kikifika mwenyewe utaona umuhimu wa kuishi wawili, yaani mke na mume.
 

Is this a research or just someone giving their views? Na kama ni research imefanyika wapi na ilikuwa na ukubwa kiasi gani. Siyo research imefanyika nchi moja basi watu mfikirie it is the case every where else in the world.

To many marriage is still a social obligation. They grew up seeing a house with a mummy and daddy and of course they want to do the same. Ni muendelezo wa utamaduni tuseme ambayo tuna rithi toka kwa wazazi na kufundishwa tokea utotoni kwamba in due time this is what is expected of you. Ndiyo maana hata sasa mtu wa umri fulani ambaye hajawahi kuoa au kuolewa ata tazamwa kwa mshangao by the society at large.
 
JF: Enzi za Great Thinkers!
 
Men like to share their earnings with someone else. They like it when they are earning for someone. It provides a purpose in life for them.

Mmmmmmmmhhhhhh....selfish men of today!!

Addition: Men rush into marriage due to unplanned pregnancies!
 
afraid of rival being one of the reasons dragging men to the altar? I have my reservations on that but these two reasons I buy them with my last coin left in my pocket..............

 

  • Social pressure is also a factor why men rush into marriage. Peer pressure is always there, and they do not like to retain their single status far to long.
.

Hii ya peer pressure ndio kubwa sana esp hapa kwetu, coz unajikuta washikaji wote wanaoa weekend kila mtu ukimtafuta anakwambia yupo bize na wife mara huyu anaenda kutembea ukweni sometimes washikaji nao wanakuuliza utaoa lini utaoa lini , wazazi nao wakianza kuku mind unaishia kuboreka eventually na wewe unaamua kulikita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…