zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
Hebu rudia kusoma hapakufanikiwa kumiliki nyumba mbili Oysterbay (kwa jasho langu mwenyewe), pamoja na maeneo mengine mengi DSM.
Chai βοΈHabari kila mmoja humu jukwaani. Maisha ni kutofautiana, na kutofautiana ndiyo maisha yenyewe.
Mimi binafsi niliwahi kwenda US kwa shughuli mahususi za kimasomo, wakati huo nikiwa kijana mdogo sana.
Nilimaliza, na nilikuwa na wenzangu.
Wenzangu walipenda sana kuendelea kuishi huko na walikuwa na mipango ya muda mrefu US. Hali kwangu ilikuwa tofauti sana. Kwa mara ya kwanza nikawa tofauti na wengi sana kimtazamo.
Na hili nitalidadavua leo hapa. Mimi nilikuwa na sababu zangu, ingawa wengine waliona za kipuuzi.
Kwanza niligundua si rahisi kumiliki nyumba ya kuishi kwa wakati huo, na hata sasa si rahisi, kutokana na vyanzo vinavyoaminika. Mimi napenda mno kitu kinachoitwa kumiliki nyumba. Na hili limefanya nijinyime, nidundulize, na kufanikiwa kumiliki nyumba mbili Oysterbay (kwa jasho langu mwenyewe), pamoja na maeneo mengine mengi DSM.
Ile hali ya ugumu wa kumiliki nyumba ilinikatisha sana tamaa. Sikukaa miaka mingi, nikaanza kuichukia sana America. Mpaka leo nadhani hapanishtui; bado ile hali ya kutopapenda ipo, ingawa nikiamua kwa hali ya sasa naweza kununua nyumba.
Huwa nafikiria na kujiuliza, sijui nirudi nikaishi US upya au nighairi. Ila najikuta naghairi, ukizingatia umri umesogea mno. Napenda mno kitu kinachoitwa "kumiliki nyumba."
Wenzangu (RIP) walibaki wakaendelea na maisha, lakini mimi nikaona nirudi nyumbani nitumie fursa za hapa, kwa sababu niliona ni rahisi kumiliki nyumba kuliko kule US.
So napachukia bado till to date. π
Nawaheshimu sana wanaomiliki majengo US.
Na wish siku moja moyo wangu ufunguke nipapende tu US, ila nadhani nimetokea kutopaelewa.
π€£π€£π€£π€£π€£Hebu rudia kusoma hapa
Juzi umeleta ushuhuda wa kujua kutumia Forex, leo una manyumba Oysterbay?
Oysterbay ya wapi ?
Here is all about mortgage ,bills and credits and learn through hard wayHabari kila mmoja humu jukwaani. Maisha ni kutofautiana, na kutofautiana ndiyo maisha yenyewe.
Mimi binafsi niliwahi kwenda US kwa shughuli mahususi za kimasomo, wakati huo nikiwa kijana mdogo sana.
Nilimaliza, na nilikuwa na wenzangu.
Wenzangu walipenda sana kuendelea kuishi huko na walikuwa na mipango ya muda mrefu US. Hali kwangu ilikuwa tofauti sana. Kwa mara ya kwanza nikawa tofauti na wengi sana kimtazamo.
Na hili nitalidadavua leo hapa. Mimi nilikuwa na sababu zangu, ingawa wengine waliona za kipuuzi.
Kwanza niligundua si rahisi kumiliki nyumba ya kuishi kwa wakati huo, na hata sasa si rahisi, kutokana na vyanzo vinavyoaminika. Mimi napenda mno kitu kinachoitwa kumiliki nyumba. Na hili limefanya nijinyime, nidundulize, na kufanikiwa kumiliki nyumba mbili Oysterbay (kwa jasho langu mwenyewe), pamoja na maeneo mengine mengi DSM.
Ile hali ya ugumu wa kumiliki nyumba ilinikatisha sana tamaa. Sikukaa miaka mingi, nikaanza kuichukia sana America. Mpaka leo nadhani hapanishtui; bado ile hali ya kutopapenda ipo, ingawa nikiamua kwa hali ya sasa naweza kununua nyumba.
Huwa nafikiria na kujiuliza, sijui nirudi nikaishi US upya au nighairi. Ila najikuta naghairi, ukizingatia umri umesogea mno. Napenda mno kitu kinachoitwa "kumiliki nyumba."
Wenzangu (RIP) walibaki wakaendelea na maisha, lakini mimi nikaona nirudi nyumbani nitumie fursa za hapa, kwa sababu niliona ni rahisi kumiliki nyumba kuliko kule US.
So napachukia bado till to date. π
Nawaheshimu sana wanaomiliki majengo US.
Na wish siku moja moyo wangu ufunguke nipapende tu US, ila nadhani nimetokea kutopaelewa.
We unadhani forex wanafanya mafala,Hebu rudia kusoma hapa
Juzi umeleta ushuhuda wa kujua kutumia Forex, leo una manyumba Oysterbay?
Oysterbay ya wapi ?
Kumiliki nyumba usa ni rahisi kuliko kumilili nyumba masaki ama. KariakooHabari kila mmoja humu jukwaani. Maisha ni kutofautiana, na kutofautiana ndiyo maisha yenyewe.
Mimi binafsi niliwahi kwenda US kwa shughuli mahususi za kimasomo, wakati huo nikiwa kijana mdogo sana.
Nilimaliza, na nilikuwa na wenzangu.
Wenzangu walipenda sana kuendelea kuishi huko na walikuwa na mipango ya muda mrefu US. Hali kwangu ilikuwa tofauti sana. Kwa mara ya kwanza nikawa tofauti na wengi sana kimtazamo.
Na hili nitalidadavua leo hapa. Mimi nilikuwa na sababu zangu, ingawa wengine waliona za kipuuzi.
Kwanza niligundua si rahisi kumiliki nyumba ya kuishi kwa wakati huo, na hata sasa si rahisi, kutokana na vyanzo vinavyoaminika. Mimi napenda mno kitu kinachoitwa kumiliki nyumba. Na hili limefanya nijinyime, nidundulize, na kufanikiwa kumiliki nyumba mbili Oysterbay (kwa jasho langu mwenyewe), pamoja na maeneo mengine mengi DSM.
Ile hali ya ugumu wa kumiliki nyumba ilinikatisha sana tamaa. Sikukaa miaka mingi, nikaanza kuichukia sana America. Mpaka leo nadhani hapanishtui; bado ile hali ya kutopapenda ipo, ingawa nikiamua kwa hali ya sasa naweza kununua nyumba.
Huwa nafikiria na kujiuliza, sijui nirudi nikaishi US upya au nighairi. Ila najikuta naghairi, ukizingatia umri umesogea mno. Napenda mno kitu kinachoitwa "kumiliki nyumba."
Wenzangu (RIP) walibaki wakaendelea na maisha, lakini mimi nikaona nirudi nyumbani nitumie fursa za hapa, kwa sababu niliona ni rahisi kumiliki nyumba kuliko kule US.
So napachukia bado till to date. π
Nawaheshimu sana wanaomiliki majengo US.
Na wish siku moja moyo wangu ufunguke nipapende tu US, ila nadhani nimetokea kutopaelewa.
Noma sana.We unadhani forex wanafanya mafala,
Hiyo sio betting mjomba.
πππ DahhhTatizo ancestors mkuu unaweza kudhan wewe ndio uliamua kumbe kuna wapuuzi walikakaa kwenye kichuguu usiku wa manane kijijini kwenu wanaulizana huyu pimbi kafikaje states na tumrejeshe haraka
Jirani na kwa MROMBOO.. πMtoa mada anazungumzia " USA-RIVER"
labda Makulu Oysterbay ya Dodoma japo napo pagumu kwa choka mbaya kumiliki ardhiHebu rudia kusoma hapa
Juzi umeleta ushuhuda wa kujua kutumia Forex, leo una manyumba Oysterbay?
Oysterbay ya wapi ?
aah wapi..!Mbona kama unaumia flani hivi
unanifahamu? Forex is my hobby and official job.Hebu rudia kusoma hapa