Sababu kuu moja iliyonifanya nisitake kuishi Marekani

Tatizo ancestors mkuu unaweza kudhan wewe ndio uliamua kumbe kuna wapuuzi walikakaa kwenye kichuguu usiku wa manane kijijini kwenu wanaulizana huyu pimbi kafikaje states na tumrejeshe haraka
hahah nadhani mitazamo tofauti.
 
Ulipataje hela za kuweza kumiliki nyumba Oysterbay? Kama utasema ni siri yako basi haina haja kutujuza kuwa unamiliki nyumba Oysterbay
 
mbona nnimeshashuhudia mafala kadhaa wakijishughulisha na forex
Ni soko huru hivyo yeyote anaweza jumuika, nilichokuwa najibu ni huyo anayeshangaa mtu anamiliki nyumba Oysterbay afu anafanya forex,
Nina ushahidi watu wameuaga umaskini kwa forex, watu wameacha kazi zenye mishahara mirefu ili watulie na forex na kamwe hutowaona wakijitapa mtandaoni wako busy na kuongeza digit za Dollar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…