Sababu kuu moja iliyonifanya nisitake kuishi Marekani

Yaani kama ameweza "kumiliki nyumba mbili Oysterbay ya JF" ndiyo ashindwe USA? AY mwenyewe ana nyumba USA ,EBM Makulilo ana nyumba USA tena ya ghorofa!! Ukiuza kiwanja tu k/koo unanua nyumba US tena beach front.
Shangaa na wewe
Yaani mimi nina nyumba mbili tena UK ambako ni ghali kuliko US, moja nimemaliza mortgage, nyingine inajilipa na wapangaji., halafu kila nikirudi bongo huwa napita Oysterbay huwa naumia sana na kusema I wish, maana bei zao ukiulizia mara kumi ya nyumba zangu mbili UK.

Mind you baba mkwe anaishi mwisho wa Kimweri na Uganda road kule kunako kutana na msasani, siku moja tunatoka ilikuwa kama miaka 5 nyuma, akajifanya kujimwambafy basi akasisima pale kabla ya kilima nyege Haile Sellasie road bado kuna viwanja vimezungushiwa, akajifanya kumuita mlinzi, akamuuliza akisie tu ni ngapi viwanja vinauzwa, aliambiwa dola milioni 5, macho yalimtoka.

 
ila unawezaje kupata nyumba pasi kujinyima siyo? mimi mbona nilijinyima? inawezekana. badili mtazamo tu.
Acha stori za vijiweni wewe wanaonunua nyumba Masaki au Oysterbqy ni watu wenye excess au extra extra disposable income. Wale 1% high net worth individuals(except waliopewa na Mkapa) Income kubwa sio mtu ujibane ili ununue nyumba hizo ni habari za huko Mbande kisewe.
 
naheshimu mtazamo wako kwenye uzi huu. vyovyote uonavyo, karibu sana.
 
Nyumba tu ?...hakuna mengine?..
 
Ila kuishi mamtoni inahitaji uwe na keshi
 
Ludi tu huko US ukaangalie na fainal za kombe la dunia
 
Wako wengi sana na ni tena ni asilimia 95% dunia nzima ni mafala
Wanaopata hela, narudia dunia nzima ni asilimia 5%
Mi nikipata dollar500 kwa mwezi mbona hela mzuri tu kwa usawa wangu, siwezi kuishindana na mabillionea waliokodisha professional traders wawafanyie trading wao wanatoa mtaji tu, Hedge funds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…