Sababu kuu ya umaskini ujanani

Sababu kuu ya umaskini ujanani

LellozWho

Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
89
Reaction score
122
“COMFORT ZONE”

sijui niiweke vipi hii kwa kiswahili katika neno moja na likaleta maana.

“Anga/wigo/dunia ya mridhiko”
(Kama sijakosea).

kama hujawahi Kijiuliza Kama ulipo panakutosheleza Au la Basi upo ndani ya “comfort zone”

kama unataka maendeleo binafsi na unakwepa mabadiliko basi upo kwenye “comfort zone”

kama utaishi/umekubali kuishi kwenye level ile ile ya kiuchumi kama familia uliyotokea basi upo kwenye “comfort zone”

kama unadhani huwezi badili mfumo wa maisha Basi umo mule mule.

mfano hai ni Mimi binafsi.
Nilikataa kubaki kwenye Comfort zone.

nilisomea Multimedia lakini Leo nafanya kitu nje ya ndogo yangu.
And my life change ever since.

lakini sababu ni moja tu
Nilitoka kwenye “Comfort zone.”

find your dream in uncomfortable zone.
Always pays big times.
 
Tatizo kwenye comfort zone patamu maana kazi yako inakuwa ni kulalamika na kuwalaumu wengine+shetani kwa mastress ya maisha yako.
Kutoka hapo inabidi uanze na kujilaumu mwenyewe na kuchukua hatua. Wengi hapo ndo inakuwa kipengele
 
umefikaje hapo Uncomfort tuanzie hapo kwanza
Nimechagua kutoka kwenye Comfort zone.

haikua rahisi.
Lakini Kama nilivosema, tangu nimefanya ivyo maisha yangu yamebadilika.
Na sasa nafurahia kupata furaha na mafanikio ndani ya Uncomfort zone yangu.

kama sijaelewa swali lako tafadhali nisaidie ili niweze kielewa na kutoa jibu jipya.
 
Back
Top Bottom