Sababu kwanini Toyota IST inapendwa sana sasa hivi

MAGARI7

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2016
Posts
2,401
Reaction score
1,303
Toyota IST inatambuliwa sehemu nyingi ulimwenguni kwa kuwa gari ndogo inayo mtosha kila mtu.

Matairi yake madogo, pamoja na engine yake inayotumia mafuta kidogo, humfanya mtumiaji
Kutokua na hofu hata awapo kwenye barabara yenye msongamano.

Si hayo tu, bali Toyota IST, muundo wake wa kipekee na wepesi wake humfanya mtumiaji kuwa comfortable zaidi.

SPARE ZAKE:
Kitu kingine kikubwa kinachoifanya Toyota Ist kuwa ni gari pendwa kwa watu wa kila aina, ni wepesi wa spare upatikanaji wa spare zake, tena kwa gharama nafuu kabisa.


UTUMIAJI WAKE WA MAFUTA:
Toyota Ist yenye Cubic Centimeters (CC )
1,290 (1300) Cc, inaweza tembea wastani wa kilometa 18 kwa lita ya petrol. (18km/L)


BEI ZA TOYOTA IST:
Bei za Toyota Ist, ziko tofauti tofauti kulingana na mwaka, milleage pamoja na Cubic Centimeter (cc) zake.

Bei ya chini Ist ni kuanzia Tshs 10,500,000 (Mpaka kuwa barabarani)


Lakini Sasa sisi ecarstanzania / s. Enterprises tunakuletea punguzo kabambe, litakalo kwisha mwishoni mwa mwezi huu wa nane, yaani tarehe 30th | 08 | 2018

Kwa Tshs 10,000,000/= (Millioni kumi tu)
Badala ya 10,500,000/= unaweza kumiliki Ist yako.

Na good news ni kwamba, tunakuwezesha kuweza kulipia kwa instalment.
Ukiwa na swali lolote kuhusiana na magari, au ukiwa unahitaji ushaur wa kitaalamu kuhusiana na gari/magari gani ya kununua, karibu inbox/pm niweze kukusaidia kukupa ushauri wa kitaalamu. ( Hata kama hutanunua kwangu kwa sababu moja ama nyingine).



Sent using Jamii Forums mobile app
 
NINA VITZ CLAVIA 2003 NAWEZA BADILISHA NIONGEZE PESA ILI NINUNUE HII MASHINE?
 
Nilienda Chukua gari langu bandarini pale Dar Nkakuta Mkutano wa IST kitaifa unafanyikia pale aisee kwa zile stores za magari


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mmmmh 18km/L?? Mbona hii yangu inabugia sana? Yani jmos nmeweka mafuta ya sh.45 ambayo ni litre 18 hadi leo nmetembea km82 imeanza kuwasha tar ya mafuta....naombeni msaada wa kiufundi juu ya hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unatumia IST au crown hata Mark X haili mafuta kiasi hicho maana kwa hesabu za haraka 1ltr unatembea 4.5km duu! Sasa kama! Hata V8 madereva tunawakokotolea 1 ltr to 7km
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…