Sababu kwanini usipende kutumia Airpods

Sababu kwanini usipende kutumia Airpods

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—”๐—ถ๐—ฟ๐—ฝ๐—ผ๐—ฑ๐˜€

1_20250212_094326_0000.png


Matumizi ya Airpods za wireless na Earphones || headphones za waya nchini Tanzania yamekua makubwa sana kwa watumiaji wengi.

ukiwa unatembea njiani utaweza kukutana kati ya watu 10 watu 7 wamevaa Earpods masikioni wakisiliza nyimbo au kitu chengine chochote.

4_20250212_094327_0003.png


Unajua matumizi ya kutumia Airpods || headphones kuweka masikioni ni hatari sana kwa afya yako ๐Ÿ˜Œ?? Najua wengi hawajui hii leo nitakujuza kwa ufupi tu madhara ya Earpods kwenye masikio yako.

5_20250212_094327_0004.png


Airpods zimekua zikitengenezwa za miundo tofauti tofauti kwa ajili ya kusaidia unapoweka sikioni kuweza kushikika vizuri masikioni lakini njia hizo utumika kuumiza masikio yako.

e6a72a4ce6a2e9512a484d748d9e7b11.jpg


Mara nyingi Airpods zinamuathiri kwa sababu tatu ambayo ni;
๐Ÿ—ฏhow they're placed (jinsi unavyoweka masikioni)
๐Ÿ—ฏ how they fit (jinsi zinavyofaa)
๐Ÿ—ฏ how long you wearing (unavaa kwa muda gani )

2_20250212_094326_0001.png


๐Ÿ’ญ Kosa kubwa kwanza watu wanafanya ni kuzitumbukiza kwa ndani zaidi Airpods ambazo kutokana na muundo wake inakupelekea kupelekea mitetemeko kwenye masikio usababisha kichwa kuuma, maumivu ya masikio na kuhalibu ngoma ya sikio lako.

26af4543d55cbb8cafc2ed0228be2356.jpg


๐Ÿ’ญ Pili wengi tunatumia Airpods bila kujua kama inafaa kwenye sikio lako au lah wengi wanatumia Airpods sio size lake kwenye sikio lake na kukupelekea upate maumivu ya s wakati umeziweka sikioni kwako na kuzikandamiza kwa ndani kwa kuwa sio size yako kupelekea maumivu kwenye sikio.

47ebf8e1ff569167f34fae7ec12a6f1f.jpg


๐Ÿ’ญ Kutumia Airpods kwa muda mrefu pia ni hatari kwa afya yako unakuta mtu anatumia Airpods dakika zaidi ya 90 ziko masikioni kusababisha maumivu. Cartilage za masikio yetu hazijawekwa ili kushirikia kitu kwa muda mrefu sana hapana.

6_20250212_094327_0005.png


Hivyo kutumia Airpods || headphones kwa muda mrefu upelekea kuumiza masikio yako na kuyaua kabisa hivyo jihadhari kutumia Airpods muda mrefu.
 
Kwahiyo tutembee na sound bar au sanufa barabarani?

Potelea mbali, mbinguni tutapewa mssikio mapya
 
Ila zinasaidia sana unafanya kazi zako bila kuweka simu sikion
 
Back
Top Bottom