nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Walifika kwa kupitia bandari ya Mombasa.Kisha wapagazi waliwasaidia kubeba mizigo yao na safari kuendelea, wakati huo kulikuwa hakuna namna yeyote ya usafiri kutoka Dar kwenda Kilimanjaro.
KUna kisa kimoja cha Mchingaji Gutman wa Ujerumani alipokuwa njiani kutokea MOmbasa walikutana na Nyumbu wakali.
Nyumbu waliwazingira, wapagazi hivyo walitupa mizigo yao na kukimbilia kupanda juu ya miti.
Mchungaji alibaki kasimama peke yake akiwa amezingirwa na Nyumbu,,,,,
Hata hivyo alikuwa na biblia yake kwenye mkoba, akaitoa na kuinyanyua juu,,,,Nyumbu wote wakaanza kutawanyika mmoja baada ya mwingine,,,,,safari ikaendelea.
Baada ya kufika Kilimanjaro wapagazi wakasimulia kisa cha kuzingirwa na nYumbu kwa mfalme(Mangi)wa wakati huo...wakielezea kwamba Mchungaji Gutman ana hirizi kubwa nyeusi yenye nguvu sana ambayo itakusaidia kwenye vita na kweli Mangi akaelewa na kuruhusu hirizi hiyo itumike ndio kisa na maana wamisionari walipokelewa kwa ukarimu sana Kilimanjaro.
Na pia hirizi hiyo ikatafsiriwa kwa lugha ya kichaga na mpaka leo nakala zipo.