N natural winner Member Joined Aug 26, 2014 Posts 80 Reaction score 19 May 4, 2015 #1 Ndugu wataalam naomba kujua sababu, tiba, na madhara kwa baadhi ya watu miili yao kupata ubaridi usio wa kawaida wanapokua sehem yenye barid, unasalmiana na mtu mikono ya baridi mbaya.
Ndugu wataalam naomba kujua sababu, tiba, na madhara kwa baadhi ya watu miili yao kupata ubaridi usio wa kawaida wanapokua sehem yenye barid, unasalmiana na mtu mikono ya baridi mbaya.