Sababu ni kuwa introvert au network kuwa fupi?

Sijui inakuaje ila wengine kadri umri unavyoenda ndivyo ambavyo hata circle zetu zinazidi kuwa ndogo, hata nikizima simu siku nzima nikiwasha data huko WhatsApp si ajabu nikakuta text moja au mbili na nina magroup matatu tu, wadau wangu huwa tunakutana bar tu kupiga ulabu.
 
Bila samahani Puppy.
Mambo ya msingi namaanisha yanayohitaji 'usiriszi' na umakini. Nikimaanisha ni 'strictly prohibited' kutumia emoji kwenye hayo masuala.
Mfano, office issues.

PS. Hiyo sio definition ya 'mambo ya msingi' ila ni definition kutokana na mada hii.
 
Ka
Kabisa jinsi unavyokua mkubwa circle ndio inavyokua ndogo, kama huna mwenza/mpo ile stage ya matured relationship ndio unaweza kukaa siku nzima pasi ya kupata text wala call.
 
Ka

Kabisa jinsi unavyokua mkubwa circle ndio inavyokua ndogo, kama huna mwenza/mpo ile stage ya matured relationship ndio unaweza kukaa siku nzima pasi ya kupata text wala call.
Exactly !
 
Introvert tuchat hapa ..hautaboreka
 
Mara nyingi wanaochart chart unakuta wanachart vitu visivyo na msingi.
Unaweza kuwa unatuma na kupokea text chache lakini za mambo ya muhimu.
 
Wakuu tujifunzeni kuandika vizuri...

Kujilidhisha...mala kwa mala... turia zimekuwa nyingi saana na hazipendezi.
Haha tuvumiliane tu.hili ni janga la taifa r na l
 
Introvert tuchat hapa ..hautaboreka
Kabisa introvert yeyote atiririke hapa maana kusocialize na extrovert tunashindwa kabisa mara nyingi story zetu na zao hazifanani.
 
Leo sms za Usajili sijazipata na Nida
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..... whyyyyyyyyyyyyyyyyy......
simu yangu unaweza kudhani nmeweka barring call yani napigiwa kwa jambo maalumu na mimi napiga kwa jambo maalumu hasa biashara,nikiwa na biashara napiga sana na hio sana watu 10.
kwa siku nikipigiwa na watu wa5 tofauti naonaga ajabu kubwa sana. Kuna watu wakipost status viewers hadi 300[emoji3][emoji3] naonaga ajabu wangu mi hata 15 hawafiki. Inaleta upweke sana watu wakiona marafiki zangu wanashangaa sana, na mtu akibahatika kunizoea anastaajabu jinsi niko charming , funny

mi nafikiri kuna watu Mungu katuumba ivyo tu yani hata ukijisocialize mpaka mwisho nobody is giving a fnck about you..
-Halafu hatunaga uvumilivu na chatting , mi kama mtu anaandika hovyo hovyo siwezi kuchat aisee
-niko na bro wangu hanaga shobo na mtu lakini anashobokewa pengine kuliko mtu yoyote mtaani ,contact za kutosha kama 2000 akikanyaga ardhi ya nyumbani kwake dk 0 mtu chee , muda wote watu wanamuulizia , yani naturally tu bro ni kipenzi cha watu.
-Nmezoea hali kiasi kwamba napenda kukaa mahala niko pekeyangu yani kupo kimyaaaa sitaki disturbance , sipendi kukaa mahala watu kibwena ikitokea tumekaa mahala wengi kila mtu anaongea nachanganyikiwa siwi sawa (nilipatwa tatizo zamani nikaambiwa Muhimbili sihitajiki kukaa kwenye kelele kabisa) huwa nafosi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tupo wengi mkuu
 
Kabisa introvert yeyote atiririke hapa maana kusocialize na extrovert tunashindwa kabisa mara nyingi story zetu na zao hazifanani.
Soma huu uzi utaona unaofanana nao

 
dah mwenzko tarehe 31 saa 5 usiku nilizima kabisa maana kuona zile mesage za kutakiwa heri ya mwaka mpya nlikuwa staki maana nlikuwa staki hata kuskia naona vurugu tu simu yangu,isipoingia mesage nakuwa na amani na hata ukinipigia simu itaita mpka itakata baada ya hapo ntakutext tu mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee pole sana tuzidi kupambana na hali zetu.
 
Hako katabia kutokupokea simu na kutuma text introvert wengi wanacho.
 
Nilishaupitia huo uzi na endapo ukawa huna shughuli ndio unaweza kukonda kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…